Mafunzo ya ujasiriamali mwanza

bereng

Senior Member
Feb 5, 2013
114
21
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Tuwafikie
Tanzania, inapenda kuwakaribisha wakazi
wa Mwanza katika mafunzo maalumu ya
ujasiriamali yatakayofanyika kuanzia
tarehe 16 disemba.
Mafunzo yatakayotolewa ni pamoja na:
-utengenezaji wa bidhaa mbalimbali
zikiwemo batiki, shampoo, sabuni za maji,
mche na unga, dawa za usafi, utengenezaji
wa keki, wine, mafuta ya kupaka ya
mgando, losheni, manukato, unga wa lishe,
mishumaa, nk.
Mafunzo haya yatalenga kuwaandaa
wahitimu kuweza kupata ujuzi wa
kutengeneza bidhaa zenye ubora. Aidha
kutakuwa na nafasi za ajira kwa
watakaofanya vizuri ili wawe walimu wa
ujasiriamali ktk mradi wetu wa WEZESHA
MJASIRIAMALI unaoratibiwa na taasisi kwa
kushirikiana na wahisani na mashirika
rafiki.
Tumeandaa pia mwalimu maalumu
atakayetoa mafunzo haya kwa wasiosikia
hivyo tunapokea maombi ya mafunzo kwa
wasiosikia, wanaweza kutuma maombi kwa
sms au email watajibiwa.
Mafunzo mengine ni uanzishaji na
uendelezaji wa taasisi zisizokuwa za
kiserikali NGO pamoja na uanzishaji na
uendelezaji wa SACCOSS na VICOBA.
Baada ya kuhitimu mafunzo haya kutakuwa
na nafasi chache za kazi ya uratibu wa
mradi wilayani ktk mkoa wa Mwanza na
sehemu zingine mradi utapoanzishwa.
Mafunzo yote yatatolewa kwa gharama
nafuu sana. Fomu zinapatikana kwa tsh
5,000. Unaweza kuwasiliana na meneja wa
mradi kwa namba 0768 955 185 email:-
tuwafikiemwanza@gmail.com.
Tovuti www.tuwafikie.org
 
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Tuwafikie
Tanzania, inapenda kuwakaribisha wakazi
wa Mwanza katika mafunzo maalumu ya
ujasiriamali yatakayofanyika kuanzia
tarehe 16 disemba.
Mafunzo yatakayotolewa ni pamoja na:
-utengenezaji wa bidhaa mbalimbali
zikiwemo batiki, shampoo, sabuni za maji,
mche na unga, dawa za usafi, utengenezaji
wa keki, wine, mafuta ya kupaka ya
mgando, losheni, manukato, unga wa lishe,
mishumaa, nk.
Mafunzo haya yatalenga kuwaandaa
wahitimu kuweza kupata ujuzi wa
kutengeneza bidhaa zenye ubora. Aidha
kutakuwa na nafasi za ajira kwa
watakaofanya vizuri ili wawe walimu wa
ujasiriamali ktk mradi wetu wa WEZESHA
MJASIRIAMALI unaoratibiwa na taasisi kwa
kushirikiana na wahisani na mashirika
rafiki.
Tumeandaa pia mwalimu maalumu
atakayetoa mafunzo haya kwa wasiosikia
hivyo tunapokea maombi ya mafunzo kwa
wasiosikia, wanaweza kutuma maombi kwa
sms au email watajibiwa.
Mafunzo mengine ni uanzishaji na
uendelezaji wa taasisi zisizokuwa za
kiserikali NGO pamoja na uanzishaji na
uendelezaji wa SACCOSS na VICOBA.
Baada ya kuhitimu mafunzo haya kutakuwa
na nafasi chache za kazi ya uratibu wa
mradi wilayani ktk mkoa wa Mwanza na
sehemu zingine mradi utapoanzishwa.
Mafunzo yote yatatolewa kwa gharama
nafuu sana. Fomu zinapatikana kwa tsh
5,000. Unaweza kuwasiliana na meneja wa
mradi kwa namba 0768 955 185 email:-
tuwafikiemwanza@gmail.com.
Tovuti www.tuwafikie.org

Wizi tu, hayo madawa yamejaaa mtaani sijui mabatiki madude gani gani anzisheni ujasiliamali mwingine, huonuko outdated ni kama dawa asili zilivyo yebo yebo!
 
Back
Top Bottom