Mafunzo ya ujasiriamali kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu 2021

Apr 24, 2018
10
4
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anawatangazia wahitimu wote wa elimu ya juu kuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeandaa mafunzo ya ujasiriamali yatakayotolewa katika mikoa kumi na moja ya Tanzania (Tanzania Bara na Zanzibar) mwezi Oktoba na Novemba mwaka 2021. Mafunzo haya yanatolewa kama sehemu ya huduma kwa jamii inayofanywa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Mikoa ya Mafunzo
Dar es Salaam, Morogoro, Mtwara, Tanga, Dodoma, Kigoma, Mjini Magharibi, Geita, Kilimanjaro, Njombe & Kusini Pemba

Usajili
Kujisajili, tembelea tovuti ya Chuo Kikuu cha DSM na kujaza maombi kwa kupitia fomu iliyo katika tovuti ya 👉👉👉 UDSM-MAFUNZO

Jua Zaidi hapa
👇👇👇👇👇👇👇
Network is Opportunity, Stay Connected

KUSINI PEMBA.png

NJOMBE.png

KILIMANJARO.png

GEITA.png

MJINI MAGHARIBI.png

KIGOMA.png

DODOMA.png

TANGA.png
 
Mafunzo mazuri ila yangependeza zaidi kama wakufunzi watakuwa ni watu waliojiajiri(waliofanikiwa kwenye ujasiriamali),hii itakuwa 'real practical', itasaidia kwenye maeneo yafuatayo:-
  • Walianzaje kupata wazo la ujasiriamali
  • Walianzaje kulitekeleza hilo wazo
  • Walisajili vipi wazo/jina la biashara/ujasiriamali
  • Kodi wanalipaje
  • Mitaji walipata wapi
  • Walikutana na vikwazo vipi
  • Masoko waliyapataje
  • Na walitumia njia gani kuvikwepa hivyo vikwazo
  • Na kijana anayetaka kuanza ujasiriamali akiwa hana mtaji aanzie wapi
  • Na baada ya hayo mafunzoni ni hatua zipi za awali,unamsaidi mshiriki ili aweze kuwa mjasiriamali n.k
 
Back
Top Bottom