Mafunzo ya ujasiriamali kilimo na ufugaji wa kuku kwa watu wote


N

ngosh

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Messages
221
Likes
15
Points
35
Age
60
N

ngosh

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2014
221 15 35
Kampuni ya CPM Business Consultants, itaendesha mafunzo ya ujasiriamali na kilimo biashara na ufugaji wa kuku kwa watu wote kwa kiingilio cha sh.10,000 kwa kilamshiriki kwa siku zote, pia vitabu vya ujasiriamali vitauzwa kwenye mafunzo. Mafunzo haya yataendeshwa katika ofisi yetu Kimara Baruti karibu na Bahama Mama, kuanzia siku ya Jumanne tarehe 19/1/2016 hadi juma mosi tarehe 23/1/2016.Kila siku mafunzo yataanza saa 4 asubuhi mpaka saa 7 mchana.

Muwezeshaji ni Charles Nazi Mshauri wa biashara na Mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara. Mada zitakazofundishwa ni kama ifuatavyo;
1. Namna ya kuanzisha na kuendesha biashara
2 Namna ya kufanya biashara kupitia mtandao wa internet.
3. Namna ya kuwekeza fedha zako hata kama una fedha kidogo
4. Namna ya kuendesha kilimo na ufugaji wa kuku kibiashara.

Kwa wale ambao watapenda kuhudhuria mafunzo hayo wapige simu au watume ujumbe kwenye simu namba 0784394701 kupata maelezo zaidi.
CHARLES NAZI
MSHAURI WA BIASHARA
 
pleo

pleo

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Messages
2,644
Likes
812
Points
280
pleo

pleo

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2013
2,644 812 280
10,000/= kila siku au semina yote?
 
pleo

pleo

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Messages
2,644
Likes
812
Points
280
pleo

pleo

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2013
2,644 812 280
"4. Namna ya kuendesha kilimo na ufugaji wa kuku kibiashara."

kwa vile semina inafanyika mjini, nahisi kilimo na ufugaji ni kwa mazingira ya mjini; hapa unaongelea nini greenhouse au mazao gani mahususi?
 
zabron k

zabron k

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2015
Messages
405
Likes
268
Points
80
zabron k

zabron k

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2015
405 268 80
"4. Namna ya kuendesha kilimo na ufugaji wa kuku kibiashara."

kwa vile semina inafanyika mjini, nahisi kilimo na ufugaji ni kwa mazingira ya mjini; hapa unaongelea nini greenhouse au mazao gani mahususi?
Hawa jamaa wanataka kupiga hela za watu hakuna lolote hapo
 

Forum statistics

Threads 1,237,463
Members 475,533
Posts 29,289,419