Mafunzo ya ufundi veta

MPEPE

Senior Member
Oct 20, 2012
155
64
NAOMBENI MSAADA WANAJF,NINA BINTI YANGU AMEFELI KIDATO CHA NNE( yaani ana four ya 35)..NIMEJARIBU KUTAFAKARI NAMNA YA KUMSAIDIA NIKAONA LABDA VETA ITAMFAA,NIPATIENI USHAURI JUU YA KOZI AMBAYO ITAMFAA KATIKA MAISHA YAKE PASIPO KUJALI KWANZA YEYE ANGEPENDA KUSOMA NINI,..PIA NIKIPATA MAJINA NA IDADI YA KOZI ZITOLEWAZO VETA NITASHUKURU SANA,.KARIBUNI WANAZUONI.
 
corse kuna secretary,machenics,carpentry,frige & air condition,electrical installation,electronics.kuna chuo fdc kibaha kinafundisha mifugo na kilimo kinachukua sifa kama hizo
 
corse kuna secretary,machenics,carpentry,frige & air condition,electrical installation,electronics.kuna chuo fdc kibaha kinafundisha mifugo na kilimo kinachukua sifa kama hizo

asante mkuu
 
Kumbe cku hzi kuna four ya pts 35?
Tafuta website ya VETA utapata kila kitu, kozi, orodha ya vyuo, sifa za kujiunga, gharama, n.k. Kama unapost kwenye JF nadhani una access na mtandao. Information is at your finger tips.
 
Inawezekana amefeli kutokana na walimu na si kwa kutokuwa na uwezo. Kitu cha kwanza anahitaji ni wewe kumuanini kwanza ina bidi uonyeshe kwamba unamuamini kwamba anaweza kufanikiwa kwenye kitu chochote kwani watoto wengi wanaofeli wanafikiria wenyewe hawawezi kufanikiwa hivyo uwe supporter mental. Cha pili mtafutie kitu tofauti mimi ningeshauri computer Engineering hii haihitaji background lakini tafuta shule ambazo zinafundisha Programming languages. Kama ukimpeleka Veta hakikisha anachukua mafunzo ambayo ni ya kwenye Oil na Gas kwani ndiyo future ya Tanzania na sehemu muhimu sana ni mafunzo ya Safety kwenye Oil and Gas. Hautaona kazi sasa lakini kazi zinakuja za kumwaga miaka ijayo.Hivyo Oil and Gas au Computer Programming-Hii siyo computer ya juu juu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom