Mafunzo ya polisi kama ndo haya nimeshindwa

usiniguse

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,724
1,188
Nililazimika kutoroka mafunzo ya polisi CCP miaka mitatu iliyopita,kilichonikimbiza ni jinsi mafunzo yalivyokuwa yanatolewa ,kufika tu nilikutana na bango limeandikwa HAKUNA HAKI ZA BINADAMU HAPA nilistuka kidogo na kutaka kujua ni haki zipi hizi .Lilipoanza somo la UVUMILIVU ndilo lililonifanya nikimbie kwani lugha inayotumika ni matusi ambayo kiukweli mengine ni mapya sijawahi kuyasikia, anaitwa mtu(kuruta) na anaitika,mfano tulianza kuitwa ASHAKUM SI MATUSI'WE MKU..DU NILIYEKU ..LA JANA njoo hapa,WE MALAYA MAMAYAKO ALIYETO..BWA UKAPATA NAFASI YA KUJA HAPA NJOO"na matusi mengimengi ya ajabu ambayo huwezi kuamini kuwa yanatoka mdomoni wa wakufunzi ambao ni watu wazima ,na NI LAZIMA UITIKIE NDIYO AFANDE.kiukweli siku ya kwanza nilishudia watoto wa kike wanamwaga chozi na vilio juu.Niliumia sana na kujiuliza hivi jeshi halina njia nyingine ya kufundisha uvumilivu kisaikolojia zaidi ya hii sikupata jibu nikanyoosha mikono juu nikatoroka usiku huohuo.
 
Kile chuo wanaomaliza ni askari wakakamavu tu.

Ukiishapita CCP utaweza kuishi sehemu yoyote duniani na kuvumilia matatizo ya kila aina mpaka ukafanikiwa

Mimi nimepiga miezi tisa pale CCP enzi za Mkisi R.I.P , RSM HARRISON NG'ECHI na AFANDE SAIMORA MASAGAMBA.

Ni kweli lugha zinazotumika na shuruba inayotolewa pale kama wewe ni mtoto wa mama huwezi maliza hata wiki

Ni aibu kwa mtoto wa kiume kuja hapa hadharani kulia kama unataka kubadilishwa nepi. CCP ni chuo cha kijeshi na watu kama wewe hamtakiwi kupita pale kwani hatutaki kuja kupata askari mdebwedo urojo wasio weza kudhibiti viroba na wahalifu
 
Afande naharisha! Hiyo si kazi yako ni kazi ya m.k.u.n.d...! Sema shida nyingine! Chezea mafunzo ya jeshi weye!
Nakumbuka siku ya kwanza tulipopelekwa mess kula nilipatiwa ka ugali kadogo sana na mchuzi wa maharage, nikaamua kwenda kulalamika kwa afande, nilichoambulia ni mbata ya kisogo na kurushwa kichura uwanja wa damu huku nimebeba bunduki juu. Hiyo ni kuwafanya askari wawe ngunguri.

Ukitaka kujua matokeo ya hayo mafunzo kawaulize sheikh ponda na Dr Slaa hao wameonyeshwa mafunzo ya CCP hutoa nini...
 
Nililazimika kutoroka mafunzo ya polisi CCP miaka mitatu iliyopita,kilichonikimbiza ni jinsi mafunzo yalivyokuwa yanatolewa ,kufika tu nilikutana na bango limeandikwa HAKUNA HAKI ZA BINADAMU HAPA nilistuka kidogo na kutaka kujua ni haki zipi hizi .Lilipoanza somo la UVUMILIVU ndilo lililonifanya nikimbie kwani lugha inayotumika ni matusi ambayo kiukweli mengine ni mapya sijawahi kuyasikia, anaitwa mtu(kuruta) na anaitika,mfano tulianza kuitwa ASHAKUM SI MATUSI'WE MKU..DU NILIYEKU ..LA JANA njoo hapa,WE MALAYA MAMAYAKO ALIYETO..BWA UKAPATA NAFASI YA KUJA HAPA NJOO"na matusi mengimengi ya ajabu ambayo huwezi kuamini kuwa yanatoka mdomoni wa wakufunzi ambao ni watu wazima ,na NI LAZIMA UITIKIE NDIYO AFANDE.kiukweli siku ya kwanza nilishudia watoto wa kike wanamwaga chozi na vilio juu.Niliumia sana na kujiuliza hivi jeshi halina njia nyingine ya kufundisha uvumilivu kisaikolojia zaidi ya hii sikupata jibu nikanyoosha mikono juu nikatoroka usiku huohuo.

halafu ngono nje nje yaani kupiga cha kusimama kawaida sana..ccp raha sana
 
Nakumbuka siku ya kwanza tulipopelekwa mess kula nilipatiwa ka ugali kadogo sana na mchuzi wa maharage, nikaamua kwenda kulalamika kwa afande, nilichoambulia ni mbata ya kisogo na kurushwa kichura uwanja wa damu huku nimebeba bunduki juu. Hiyo ni kuwafanya askari wawe ngunguri.

Ukitaka kujua matokeo ya hayo mafunzo kawaulize sheikh ponda na Dr Slaa hao wameonyeshwa mafunzo ya CCP hutoa nini...

Si ajabu umeishia kuwa na low self esteem na big ego, kama polisi karibia wote Bongo. Upolisi/ujeshi umekuharibu kisaikolojia. Deal with it!
 
Kile chuo wanaomaliza ni askari wakakamavu tu.

Ukiishapita CCP utaweza kuishi sehemu yoyote duniani na kuvumilia matatizo ya kila aina mpaka ukafanikiwa

Mimi nimepiga miezi tisa pale CCP enzi za Mkisi R.I.P , RSM HARRISON NG'ECHI na AFANDE SAIMORA MASAGAMBA.

Ni kweli lugha zinazotumika na shuruba inayotolewa pale kama wewe ni mtoto wa mama huwezi maliza hata wiki

Ni aibu kwa mtoto wa kiume kuja hapa hadharani kulia kama unataka kubadilishwa nepi. CCP ni chuo cha kijeshi na watu kama wewe hamtakiwi kupita pale kwani hatutaki kuja kupata askari mdebwedo urojo wasio weza kudhibiti viroba na wahalifu

askari wenyewe wanavitambi halafu unaxema wakakamavu
 
Sasa nimejua kwa nini una majibu kama una laana ya mzazi wako
 
Jamani kazi zingine watu mnaojilegeza hamziwezi, walichokua wanafanya hapo nikukujazeni upepo na ukijaa watu wanautoa, lengo kukutoa ktk uraia wako na kukupeleka kwenye uaskari. Asiekua na hasira za haraka yaani mtu akikuambia hicho ulichoona ni tusi, uone kawaida tu maana ukiwa na hasira umebeba SMG ni hatari, hivyo ndivo baadhi vitu vinavyomtofautisha kati ya askari na raia wa kawaida. Ulikosea njia ulitakia ukatafute kazi yale maeneo yenye kauli mbiu mteje ni mfalme.
 
Lakini kukuna nazi si unaweza? Bath hainaga shida!

Nililazimika kutoroka mafunzo ya polisi CCP miaka mitatu iliyopita,kilichonikimbiza ni jinsi mafunzo yalivyokuwa yanatolewa ,kufika tu nilikutana na bango limeandikwa HAKUNA HAKI ZA BINADAMU HAPA nilistuka kidogo na kutaka kujua ni haki zipi hizi .Lilipoanza somo la UVUMILIVU ndilo lililonifanya nikimbie kwani lugha inayotumika ni matusi ambayo kiukweli mengine ni mapya sijawahi kuyasikia, anaitwa mtu(kuruta) na anaitika,mfano tulianza kuitwa ASHAKUM SI MATUSI'WE MKU..DU NILIYEKU ..LA JANA njoo hapa,WE MALAYA MAMAYAKO ALIYETO..BWA UKAPATA NAFASI YA KUJA HAPA NJOO"na matusi mengimengi ya ajabu ambayo huwezi kuamini kuwa yanatoka mdomoni wa wakufunzi ambao ni watu wazima ,na NI LAZIMA UITIKIE NDIYO AFANDE.kiukweli siku ya kwanza nilishudia watoto wa kike wanamwaga chozi na vilio juu.Niliumia sana na kujiuliza hivi jeshi halina njia nyingine ya kufundisha uvumilivu kisaikolojia zaidi ya hii sikupata jibu nikanyoosha mikono juu nikatoroka usiku huohuo.
 
Kile chuo wanaomaliza ni askari wakakamavu tu.

Ukiishapita CCP utaweza kuishi sehemu yoyote duniani na kuvumilia matatizo ya kila aina mpaka ukafanikiwa

Mimi nimepiga miezi tisa pale CCP enzi za Mkisi R.I.P , RSM HARRISON NG'ECHI na AFANDE SAIMORA MASAGAMBA.

Ni kweli lugha zinazotumika na shuruba inayotolewa pale kama wewe ni mtoto wa mama huwezi maliza hata wiki

Ni aibu kwa mtoto wa kiume kuja hapa hadharani kulia kama unataka kubadilishwa nepi. CCP ni chuo cha kijeshi na watu kama wewe hamtakiwi kupita pale kwani hatutaki kuja kupata askari mdebwedo urojo wasio weza kudhibiti viroba na wahalifu

Na rushwa wanajifunzia wapi?
 
Ni aibu kwa mtoto wa kiume kuja hapa hadharani kulia kama unataka kubadilishwa nepi. CCP ni chuo cha kijeshi na watu kama wewe hamtakiwi kupita pale kwani hatutaki kuja kupata askari mdebwedo urojo wasio weza kudhibiti viroba na wahalifu

Hakuna njia nyingine zaidi ya MITUSI? kwa dunia ya LEO? ndio maana kati ya vitu unatakiwa uende navyo ni pasi ya mkaa, kweli? leo tunaongelea pasi ya mkaa? iliujifunze nini? kwa faida ipi?
 
Back
Top Bottom