Mafunzo ya mob phone soft ware | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafunzo ya mob phone soft ware

Discussion in 'Matangazo madogo' started by M-bongo, Oct 7, 2009.

 1. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nina kijana wangu anahitaji sana kupata chuo kinachotoa mafunzo ya kutengeneza simu Dar hasa mafunzo ya soft ware katika simu kama kuna yeyote anayefahamu tafadhal naomba anijulishe hata kwa Pm au vyo vyote vile
   
 2. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nina kijana wangu anahitaji sana mafunzo ya mob phone soft ware yeye ni fundi wa hard ware sasa anhitaji kupata chuo au sehemu ambayo anaweza pata mafunzo ya soft ware. msaada tafadhali
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,315
  Likes Received: 5,609
  Trophy Points: 280
  Veta>>>>dar
   
 4. d

  dullymo Senior Member

  #4
  Oct 7, 2009
  Joined: Aug 21, 2009
  Messages: 107
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa ujuzi wangu sidhani kama hapa bongo kuna chuo ch akufundish aufindi wa aina hiyo ila kama huyo kijana wako ana elimu kidogo ya matumizi ya computer kuna software nyingi za kuunluck na kuflash simu na nadhani hayo ndio mambo muhimu katika ufundi wa simu kwa kutumia computer. mwambie atafute vifaa vifuatavyo.
  1.bb5 box ni kwa ajili ya kutengeneza simu latest za nokia kama vile n73,n96,n95,na simu zote 3g za nokia.

  2.CP-box ni kw ajili ya sony erriccson
  3.dreambox ni kwa ajili ya siemens
  4.JAF box
  5.MSS BOX II kwa ajili ya motorolla.
  6.NBOX
  7.HWK BOX.

  hizo ni baadhi ya instrument muhimu ambazo nadhani zitamsaidia katika kufanikisha lengo lake. kwa hapa bongo ni chache sana kuzipata ila kama utakuwa una mtu anayekwenda hongkong, dubai au mitaa ya huko duniani ni vyema ukamuagiza. kila pacckage inacost around USD 100 mpaka 200. na katika kila package kuna kifaa chenyewe main, software yake na cable kama 50 hivi za simu.
  kuhusu matumizi namshauri awe anasoma sana tutorials online na katika package pia kunakuwa na CD inayotoa mafunzo namna ya kurepair simu incl flashing na unlocking.
  baada ya hapo nadhani utakuwa umefika muda wake wa kula pesa bwerereeee!!
   
 5. c

  care4all Senior Member

  #5
  Oct 7, 2009
  Joined: Feb 25, 2007
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kujua VETA wanatoa mafunzo (level) gani kwenye mobile Software. I mean mafunzo ya (Mobile Phone Tools Software/ applications) e.g S/W for repairing, flashing, adding languages etc au mpaka low layer S/W.
   
Loading...