MAFUNZO YA MICROSOFT EXCEL KWA AJILI YA WALIMU

Sir Hemedi

Sir Hemedi

Senior Member
Joined
Sep 28, 2016
Messages
127
Points
250
Sir Hemedi

Sir Hemedi

Senior Member
Joined Sep 28, 2016
127 250
MAFUNZO YA MICROSOFT EXCEL KWA AJILI YA WALIMU
(Video 30 za Mafunzo kwa Kiswahili)
by: MWL. HEMEDI

👉Mafunzo yanaendeshwa kupitia kundi la Telegram, Hivyo unaweza Kujiunga Popote ulipo kama una simu yenye uwezo wa internet au Computer. Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos na Katika Lugha ya Kiswahili.Mambo utakayojifunza kwa kujiunga na mafunzo haya:

01. Utangulizi

-Jinsi ya Kutumia Excel

-Kuformat columns, rows

-Kuformat data02. Kuingiza data katika Excel

03. Kuingiza taarifa za matokeo ya Wanafunzi

04. Formula za Matokeo ( Jumla, Wastani, GPA, Waliofeli, waliofaulu n.k)

05. Kubadili Data kwenda katika Charts na Graphs

06. Jinsi ya Kuandaa Kalenda ya wiki, Mwezi au Mwaka.

07Jinsi ya Kuthibiti data za wanafunzi (waliolipa ada, wanaodaiwa)

08. Conditional formating (Muhimu zaidi)

*BONUS (Ms Word & Excel)*

09. Jinsi ya Kuandaa Lesson Plans, Scheme of Work

10. Jinsi ya Kuandaa Ratiba za Mitihani👉Ada ya Kujiunga na Mafunzo haya ni Tsh 10,000/= tu, Tuma ada kwenda 0672999266 (Tigopesa).

Jina ABDALLAH HEMEDI. Baada ya Kulipia ada nitumie ujumbe kupitia WhatsApp [ 0672999266 ] na baada ya hapo utaunganishwa katika Mafunzo. Karibu Uongeze

Kwa maelezo zaidi tembelea toivuti yangu www(dot)mwlhemedi(dot)com
 
GANG MO

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Messages
1,500
Points
2,000
GANG MO

GANG MO

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2016
1,500 2,000
Ungeanza bure kwanza tuone huduma ipoje
 
Sir Hemedi

Sir Hemedi

Senior Member
Joined
Sep 28, 2016
Messages
127
Points
250
Sir Hemedi

Sir Hemedi

Senior Member
Joined Sep 28, 2016
127 250
Ungeanza bure kwanza tuone huduma ipoje
Yapo mafunzo ya bure ninayotoa kupitia Telegram Channel, kama unahitaji mafunzo ya bure nitumie ujumbe WhatsApp 0672999266 ili nikuunganishe.
 
kenzi

kenzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Messages
427
Points
500
kenzi

kenzi

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2015
427 500
Mafunzo ya bure watsapp hauna?
Yapo mafunzo ya bure ninayotoa kupitia Telegram Channel, kama unahitaji mafunzo ya bure nitumie ujumbe WhatsApp 0672999266 ili nikuunganishe.
 

Forum statistics

Threads 1,303,748
Members 501,127
Posts 31,491,288
Top