Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Nahisi hilo ndio jambo la muhimu
Net house huwa zina tumika sehemu zenye joto na GH huwa zina tumika sehemu zenye baridi.... ndio maana china kwenye joto wana tumia GH na NH... so zina fanya kazi vizuri tu... hao watu wa SUA waende mbali zaidi ktk hili wasiishie tu Mita kazaa toka baharini... wadadavue na waje na suluhu... kama wenzetu walivyo kuja na suluhu, wasikosoe na kuachia hapo hapo
 
Net house huwa zina tumika sehemu zenye joto na GH huwa zina tumika sehemu zenye baridi.... ndio maana china kwenye joto wana tumia GH na NH... so zina fanya kazi vizuri tu... hao watu wa SUA waende mbali zaidi ktk hili wasiishie tu Mita kazaa toka baharini... wadadavue na waje na suluhu... kama wenzetu walivyo kuja na suluhu, wasikosoe na kuachia hapo hapo
Gh inatumika popote ila hizi net house/walking tunnels ni za sehemu zenye joto kama unalima mazao ya mboga ya kuhitaj temp 23 degree, ila kwa nchi zilizoendelea wana mazao yanayovumilia baridi hivyo mtu analima pia kwa net house.
Green house hii inatakiwa iweze kucontrol all elements of weather i.e light, temperature, water/rainfall etc
 
Salama wadau! Nashurukuru kwa wote mliochangia kwenye Uzi Wang kuhusu green house Lakini naomba niseme machache

Kwanza hizi tunazoziita green house sio kwel kuwa ni GH Bali ni high tunnels (nitaeleza tofaut za GH, high tunnels, screen house siku nyingine)

Pili High tunnels zinafaa sehemu yoyote bila shida kabsaa , nasema iv kwa sababu kuna msemo umezoeleka kuwa GH kwa pwani na DSM hazifai , mm nasema sio kweli zinafaa sana, sema kuna makampuni au watengenezaji wanasokosea sana katika kuzitengeneza hizi structure (hakuna kitu kibaya kama copy and paste)
Kuna vitu vingi vya kuzingatia kama aina ya net, aina ya polycover, wind direction, ventilation, gutter height, sunny direction na vingine vingi , kwa hyo ni vzr kumpata mtaalam anaejua ili tusiumize wakulima wetu hasa wastaafu wanaotumia kiinua mgongo kwa ajili ya Kilimo, nimetengeza GH DSM na zinafanya vzr sana
 
Yaap its good mimi nimekuwa nikifuatilia greenhouse farming kwa muda mrefu nilishafika hatua ya kuanza ku install kuna ideas nimepata toka SUA wataalamu wa Horticulture wanasema GH huwa hazina ufanisi katika maeneo ambayo yako chini ya mita 1,500 toka usawa wa Bahari.
Kwa hiyo maeneo yote ya dsm, Mombassa, na pwani GH haziko efficient sana
Lakini jamaa walienda mbali zaidi kudadavua kwamba hata kama utajenga GH ktk maeneo hayo design ambayo iko friendly na ile ya mapaa mawili yanayopishana ambayo ita ensure ventilation ya hali ya juu. Hata hiyo wanasema wakati wa joto kali plants zinakuwa stressed

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama upo DSM wasiliana na mm , kuna GH nimetengeneza Zinga(1), mapinga(3), Mbagala (3), Kibaha (1) na nyingine nyingi uje ujionee namna nilivyofanya hizi kazi kitaalamu na wakulima wanafurahia
 
Kujua kitu si kutenda na ndo maana nchi yetu ina wasomi wengi wazuri na wajuzi wengi lakini utendaji wetu mbovu. Nchi hadi leo masikini na visingizio kibao. Problem ni Attitude!

Negative Attitude. Emotions si lazima katika mijadala. Emotions are energies ambazo katika ulimwengu wa sayansi ya sasa hasa last 5 years can be removed. The choice is yours!

Back to topic:

Green House is a Technology ambayo inakuhakikishia high productivity kwa sababu ya ku-control environment na management.

8X15 M unaweza kupanda miche 600 ya nyanya.
Kwa wiki unaweza kupata kati ya kilograms 400-600
Msimu toka uanze kuvuna unaweza kuchukua miezi 8 hadi 12.
Kwa DSM bei ya nyanya inarange kati ya TZS 1500 hadi 4000 kutegemea msimu

Sasa tufanye mahesabu ya kawaida:

Kwa wiki unapata: 400 (600) Kgs X 1500 (4000) = TZS 600,000 hadi TZS 900,000 (kutegemea na timing)
Kwa mwezi au wiki nne: TZS 6000 X 4 = 2,400,000 hadi TZS 900,000 X 4 = 3,600,000/=
Kwa average ya miezi 10: TZS 24M hadi TZS 36M

Kumbuka running cost ni minimum baada ya investment ya awali..
kwa mkoa kama morogoro kuna sehemu joto ni kali sana,greenhouse inatakiwa iwe na urefu gani kutoka ground level mpaka kwenye gutter na kutoka kwenye gutter mpaka kwenye paa?
 
kaka kama ukiweka net kwenye side Walls kwa 100% inaweza kua sawa yani cover ya nylon ikawa juu tu kwenye paa,hapo ninaweza kupunguza joto kali na mimea ika survive?
 
vitunguu havikubali kwenye greenhouse?
hata mchicha unakubali!

faida ya vitunguu kwa eneo la ujazo la greenhouse dhidi ya gharama ya ujenzi ni ndogo kuweza kupata faida endelevu.
 
kaka kama ukiweka net kwenye side Walls kwa 100% inaweza kua sawa yani cover ya nylon ikawa juu tu kwenye paa,hapo ninaweza kupunguza joto kali na mimea ika survive?
Hakuna net (insect net ya 100%), nikueleze kuwa wanaposema net ina% fulani wanaanisha nn? Mfano insects net maeneo ya pwani tumia ile yenye 55% means it can block incoming (dust, pest, etc) by 55% and allow 45% to pass also Clarence for wind and air circulation is vital important so tumia net hyo then weka polycover juu yenye 200micron itakuwa poa Sana , chek wind direction (GH iwe parallel) , weka side vent, pia gutter height iwe 3m+ , kila la Kheri , ukihitaji materials nichek
 
kwa mkoa kama morogoro kuna sehemu joto ni kali sana,greenhouse inatakiwa iwe na urefu gani kutoka ground level mpaka kwenye gutter na kutoka kwenye gutter mpaka kwenye paa?
Morogoro sehem gani? Weka height ya 3m+ with vent kwa juu, but king post iwe 2.5m from gutter height, it depends kama paa lako ni slant roof or doomed roof
 
eneo la robo ekari linatosha kwa kulima kwa drip na kupata kipato kizuri kama nitalima nyanya?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom