mkwawa gabriel
Senior Member
- Apr 7, 2012
- 100
- 23
Nafasi za mafunzo ya Jeshi la JKT zimetoka kwa awamu ya pili kwa walio maliza kidato cha sita mwaka 2013 kwa wanao penda kujiunga mnatakiwa kwenda makambi ya JKT popote pale karibu nawe na mnatakiwa kutunza tiketi za usafili ili muweze kurudishiwa nauli zetu hii ni kwa wale waliopata division I and II katika masomo ya arts na science pia na wale waliopata division III kwa masomo ya science tu changa mkieni nafasi hizo 10`849 kwa maelezo zaidi tembelea website yao http://www.jkt.go.tz mtapata amelekezo yote kila raheri kwa mtakao kwenda
Wishing you all the best.
Wishing you all the best.