Mafunzo ya jkt awamu ya pili

mkwawa gabriel

Senior Member
Apr 7, 2012
100
23
Nafasi za mafunzo ya Jeshi la JKT zimetoka kwa awamu ya pili kwa walio maliza kidato cha sita mwaka 2013 kwa wanao penda kujiunga mnatakiwa kwenda makambi ya JKT popote pale karibu nawe na mnatakiwa kutunza tiketi za usafili ili muweze kurudishiwa nauli zetu hii ni kwa wale waliopata division I and II katika masomo ya arts na science pia na wale waliopata division III kwa masomo ya science tu changa mkieni nafasi hizo 10`849 kwa maelezo zaidi tembelea website yao http://www.jkt.go.tz mtapata amelekezo yote kila raheri kwa mtakao kwenda
Wishing you all the best.
 
Toa maelezo ya kutosha hasa kwa wale wanaomaliza vyuo vikuu mwezi huu wanaingia kwa utaratibu gani
 
Hyo ni kwa mujbu wa sheria, vipi kwa nafasi za hawa wa kujitolea wanaoitaj kujiunga na jkt?
 
Mimi penda sana hii kitu..peleka wote tu JKT...!!!! wapunguze foleni mjini.
 
hiyo ni special kwa waliomaliza form 6 tu? au kwa vjana wote wanaopenda kujiunga na mafunzo hayo?
Msaada kwa hilo Wakuu.
 
Toa maelezo ya kutosha hasa kwa wale wanaomaliza vyuo vikuu mwezi huu wanaingia kwa utaratibu gani
Maelezo yanajitosheleza walio chuo hamna labda wakitangaza tena wanaweza kuchukua pia kwa walio chuoni xo jaribu kuuliza affice za ulinzi na usalama zilizo karibu nawe kwa wilaya au mkoani kwako watakupa majibu kwa sasa majibu ya hoja yako hatuna majibu jaribu sehemu husika
 
hiyo ni special kwa waliomaliza form 6 tu? au kwa vjana wote wanaopenda kujiunga na mafunzo hayo?
Msaada kwa hilo Wakuu.
Ni special kwa waliomalia form six tu kwa mujibu wa tangazo lao wengine inaonekana bado watatoa tu vuta subira au uliza affice za ulinzi na usalama karibu nawe watakuelekeza vizuri sanaaaaaaaaa na utaridhika pia
 
Back
Top Bottom