Mafunzo ya jando yalivyonisaidia kumuweka WIFE katika mstari niutakao

mwamba c

JF-Expert Member
Jan 2, 2017
690
2,362
Duuh...kumcontrol mwanamke ni kaz ndogo sana ila inahtaj hekima na akil.Mke wangu alikuwa ana tabia ya kuwa karibu xana na mashost zake zaid ya anavyokua karb nami,wakat mwngne alikuwa hata akiwaruhusu mashosti zake ndio wanipikie,mtoto wa kiume nkawa nipo kimya nasoma mchezo na huku nikitafakr nn nkifanye maana kama ni kuongea nlichoka na kama ni kichapo nilitembeza ila mambo bado hayakuwa mubashara
Nkapata wazo,nkatumia mafunzo nliyopata jando,hapo nikautumia udhaifu wa wanawake kwamba huwa hawapendani wenyewe kwa wenyewe na huwa wanapendana kinafki,basi kutokana na asili ya kaz zangu za kuwa nasafir mara kwa mara bas ikawa kila wakat nnarud kutoka safarini nanunua magunia matatu ya mkaa,vitenge pea tatu,matunda, na nguo nyingi tu then nnapofika nyumbani namwambia mke wangu awaite mashost zake wawili halafu naanza kuwagawia zawad nlizotoka nazo safar yaan naanza na mke wangu nampa gunia moja la mkaa,kitenge pea moja na zawad nyingine,kisha nikawa nafanya hvyohvyo na kwa mashost zake na haya niliyafanya mbele yao wote wakiwa wanaona.Nilirudia kitendo hiki kwa mara tatu, na nlipotoka safar mara ya nne nkiwa nataka kurudia kitendo hiki ndipo nikakutana na matokeo ambayo niliyahitaj kwa muda mrefu sana,nlkuta mke wangu kajitenga na marafiki zake na sio wamoja tena.Nikatabasamu moyoni kwa kuweza kuwatenganisha,nafkir kutoa kwangu zawad kwa usawa kati yake na mashosti zake kulimjengea wivu, chuki na hofu kuwa nlikua nataka kutoka nao kumbe sio,lengo langu lilikua zuri tu ni kwamba nilihtaj attention yake zaid kwangu....
Sasa hv ni full shangwe furaha imerud kama mwanzo,hawa viumbe haina haja ya kuwapiga sanaaa,nmepiga nkachoka nkaamua kutumia busara tu kuwatenganisha.
 
safi sana, akili nyingi nguvu kidogo
 
Mimi nakumbuka nilikuwa na ex-wangu yeye na ndugu zake hawakupishana sana kiumri walikuwa akinipenda sana. Sasa kila tukiwa pamoja wanapenda kunipa Hug na michezo ya kugusana mwilini, mimi nilikuwa nawachukulia kama mashemegi zangu tu. La kushangaza rafiki zangu walikuwa wakiniona bwege sababu wao wanaona kama wale wadogo zake ex-wangu wananitaka. Nikikumbuka husema bora kutumia akili zangu kuliko kuwasikiliza wale rafiki mashetani.
 
Kuna wengine hata uwafanyaje hawaelewi, ila wewe umeweza pongezi sana...hopefully shemeji yetu hakuwa JIKESHUPA
 
Back
Top Bottom