Mafunzo kwa Mbwa Germany Sherphed | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafunzo kwa Mbwa Germany Sherphed

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Parachichi, Feb 5, 2010.

 1. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2010
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 513
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wakuu heshima mbele!nimepata kununua mbwa aina ya Germany Sherpher!ni mbwa wazuri ila kwa sasa nakwama jins ya kuwafundisha!nilikua naomba ushauri kwenu wakuu kwa yeyote mwenye uzoefu naomba anielekeze!umri wa mbwa ni miezi miwili na nusu.

  Pia wakiwa na umri gani ndio wanatakiwa wapelekwe kwenye training?

  Nawasilisha wakuu
   
 2. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu kama upo tz wasiliana na jeshi la police watakupa ushauri mzuri sana na unaweza kumpata dogs trainer akaja kwako mara moja kwa wiki au vinginevyo...
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  mimi ninaitaji mbwa wenyewe una watoto mkuu niuzie
   
 4. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Akuuzie Watoto wake au watoto wa mbwa? Kwa sababu kasema amemnunua na ana umri wa miezi miwili na nusu...
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  watoto wa mbwa anielekeze aliko nunua na mm niende
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Kuna jamaa wako maeneo ya Kimara wanauza puppies na wanatoa ushauri. Na pia watakuwa wanatoa mafunzo. Mtafute Alex (0754 742069)
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...