mafundisho ya chuki yanavyo ponza uzao wa Kiaraabu

Status
Not open for further replies.

Bhanunu

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
798
243
Kulipa kisasi , kuua mtu anae muasi Mungu na kuangamiza makafiri , kwa ncha ya upanga
ndiyo njia ya kuingia peponi watoto wadogo wa nafundishwa chuki na roho ya ukatili ,sasa ya wageuka
 
Hayo mafundisho yanatolewa wapi? Acha unafiki na kuzungumza usiyoyajua. Ni nchi ngapi ambazo zinapigana na hawana hata chembe ya uarabu?
 
Ifike wakati uepukane na mawazo mgando. Peleka fikra zako mbali unapost kumfurahisha nafsi yako au kuleta na kupata mawazo mapya toka kwa wenzako.
 
Watu wa madhabahuni wameanza kupoteza malengo yao. Inabidi wawe wanapewa mafundisho ya mara kwa mara.
 
Nakubaliana nawe kwa aslimia zote angalia afghanstan iraq pakstan syria lebanon yemen egypt somalia mali...................

Aangalie pia Kongo Drc, Sudan kusini,Rwanda,Angola,Korea, huko kote kuna waarabu? Mbona wamepigana sana?
 
Kwa ujinga wako hujui kwamba machafuko 90% duniani yanaratibiwa na mataifa ya magharibi.
 
Hayo mafundisho yanatolewa wapi? Acha unafiki na kuzungumza usiyoyajua. Ni nchi ngapi ambazo zinapigana na hawana hata chembe ya uarabu?

Ni kweli nchi nyingi zinapigana,lakin mapigano yao ni juu ya madaraka na rasilimali.kwa waarabu na wafuasi wao kama wewe mnapigania kwenda peponi kwa kuuwa wenzio,kukandamiza wakundi mengine ktk jamii yenu.mfano wanawake kutoruhusiwa kuendesha gari,kupiga kura,n.k.
Bila shaka unakumbukumbu ya yule mwanamke wa nageria aliye bakwa na mjombake,kwa kuwa alipata mimba alihukumiwa kupigwa mawe mpaka kufa wakati mjomba anapeta tu.

ULIPAJI VISASI NA CHUKI NDIO ASILI YA WAARABU NA WAFUASI WAO
 
Akiua kafiri "mbinguni anazawadiwa bikra 72"
 
Like...!
 
Unaposema wafuasi wa Waarabu una maanisha nini?
Kwahiyo wewe ni mfuasi wa nani mchina au?
 
Kulipa kisasi , kuua mtu anae muasi Mungu na kuangamiza makafiri , kwa ncha ya upanga
ndiyo njia ya kuingia peponi watoto wadogo wa nafundishwa chuki na roho ya ukatili ,sasa ya wageuka

Hata wewe umekaririshwa kumchukia mwarabu hata hapo ulipo una chuki na roho mbaya dhidi ya waarabu.
 
Watu wa madhabahuni wameanza kupoteza malengo yao. Inabidi wawe wanapewa mafundisho ya mara kwa mara.

Hii mada inahusu Arabs..Na siyo muslim..Hao wanaotoa hayo mafundisho Wanavitabu vyao..Ninavyo Amini Dini zote zinafundisha Kutenda mema..

Uarabu na Uislam ni vitu viwili Tofauti...
 
Kwa ujinga wako hujui kwamba machafuko 90% duniani yanaratibiwa na mataifa ya magharibi.

Ni kwa ajili ya kutengeneza dunia salam kwa kusambarayisha kizazi cha chuki.jibu maswali yafuatayo:
Kwa nin mihadhara mingi haihubiri juu ya mtume zaidi ni kujadiri yesu kristo?
We unafikiri kwa nini unalilia mahakama ya kadhi?
 
Unajua nakuheshimu kwakuona mtu mzima kumbe sivyo!
1.Kumjadili Yesu ni kukufumbua macho uamke yesu ni mwanadamu kama wewe anakula,kunywa,kulala,na anaenda chooni hizo ni sifa za mwanadamu si Mungu.iweje umuite mwanadamu mwenzio Mungu tuendelee kukuangalia tu?
 
Nakubaliana nawe kwa aslimia zote angalia afghanstan iraq pakstan syria lebanon yemen egypt somalia mali...................

Acheni mambo ya kipumbavu! vp tarime kuna waarabu mbona kila kukicha shingo zinadondoka?
 
Aangalie pia Kongo Drc, Sudan kusini,Rwanda,Angola,Korea, huko kote kuna waarabu? Mbona wamepigana sana?

Huko umeenda mbari sana mkuu! njoo moro juzi wakulima na wafugaji wali2mia nini kuuana?, je kuna arabic mule?
 
Kuna ukweli ndani ya maneno ya mwanzisha thread. waarabu wako arrogant sana.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom