mafundisho ya chuki yanavyo ponza uzao wa Kiaraabu

Status
Not open for further replies.
Kuna ukweli ndani ya maneno ya mwanzisha thread. waarabu wako arrogant sana.

Na wasiokua warabu wakoje?
Mataifa yote yanayoongoza kutengeneza silaha kubwa za kivita na za maangamizi si nchi za waarabu.
Kwahiyo wewe unadhani wanatengeneza kwa ajili ya kufugia kuku?
 
Akiua kafiri "mbinguni anazawadiwa bikra 72"[/QU OTE]
72virgins.gif

virginscartoon.gif
 
Nakubaliana nawe kwa aslimia zote angalia afghanstan iraq pakstan syria lebanon yemen egypt somalia mali...................

.......algeria,tunisia,libia,nigeria kaskazn,afrika ya kati,........
 
Unajua nakuheshimu kwakuona mtu mzima kumbe sivyo!
1.Kumjadili Yesu ni kukufumbua macho uamke yesu ni mwanadamu kama wewe anakula,kunywa,kulala,na anaenda chooni hizo ni sifa za mwanadamu si Mungu.iweje umuite mwanadamu mwenzio Mungu tuendelee kukuangalia tu?

hebu nisaidie na mimi kujua. Mungu ninani? coz nimesafir nchi zaid ya 75 nimekuta watu tofauti na wanaMungu wao kwa sifa zao. kisha nijbu hili ikiwa unaamin kuwa Mungu ana uwezo wote kwanin usiamin aliweza kujibadilisha akawa binadam? au uwezo wake unaishia pale unapoamin wewe.
 
unajua tofauti na din ya Kikristo, Waislam wao wameamriwa kuuwa kwa sababu flan flan. Wakristo wao wameambiwa wawapende maadui zao na kuwajal.kuna tofaut kubwa sana.
 
Ni kwa ajili ya kutengeneza dunia salam kwa kusambarayisha kizazi cha chuki.jibu maswali yafuatayo:
Kwa nin mihadhara mingi haihubiri juu ya mtume zaidi ni kujadiri yesu kristo?
We unafikiri kwa nini unalilia mahakama ya kadhi?

Yesu Kristo ndiye anayewatoa kamasi hawa watu wa ahera. Long Live Jesus
 
hakuna Mungu anayepiganiwa bali Mungu ndie anayestahili kutupigania kwani ndiye muuma wetu.
 
Waarabu watu wa ajabu kabisa! wameuharibu ulimwengu, wamefanya duniani pasiwe mahali salama kabisa, nawachukia sana hawa jamaa!!
 
so sad, siku hizi ukimdhihaki mwarabu ni sawa na kumdhihaki mwislam, waarabu wamekuwa kama malaika wa waislam.
 
Sisi huwa hatuzungumzii uislam madhabahuni maana hauna tija kwetu.
 
Waarabu watu wa ajabu kabisa! wameuharibu ulimwengu, wamefanya duniani pasiwe mahali salama kabisa, nawachukia sana hawa jamaa!!

Kwahiyo wazungu wanaokuhamasisha uwe shoga ndo unawapenda?
 
Sehemu yoyote aliyopita Mwarabu na dini yake aliacha umaskini wa kifikra na kiuchumi pia, angalia pwani yote, kigoma, tabora n.k..Walikuwa wanaeneza laana tu na chuki.
 
Kuna kitu mnakikwepa hapa. Mi niemkuwa nasikia Islam is a religion of Peace. Naamini ndivyo ilivyo. Tatizo Waarabu wanapochanganya matatizo yao ya Kisiasa na Dini ndipo ambapo wananichanganya hata mimi. Dini ingebaki kuwa dini na siasa ibaki kuwa siasa. Na mada haikuongelea kuhusu dini ila imeongelea kizazi cha Waarabu na chuki pandikizi
 
Waarabu watu wa ajabu kabisa! wameuharibu ulimwengu, wamefanya duniani pasiwe mahali salama kabisa, nawachukia sana hawa jamaa!!

Na utawachukia sana ...na Siku ukiujua ukweli utatulia. Alieuharibu ulimwengu ni muarabu au mataifa ya magharibi...
 
Sehemu yoyote aliyopita Mwarabu na dini yake aliacha umaskini wa kifikra na kiuchumi pia, angalia pwani yote, kigoma, tabora n.k..Walikuwa wanaeneza laana tu na chuki.

Ata Mimi naona ...Ebu tuangalie waathirika wa ukimwi bara na visiwani nani mwenye laana kubwa...Ww unaetembea kama mbuzi ukiwa uchi sio laana alokuachia muengereza...Tuambie mgerumani na muingereza amekuachia utajiri UPI wa mawazo na kiuchumi....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom