Mafundi wa Nissan

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
784
326
Habari,

Kuna jamaa yangu ana Nissan Xtrail new model t31 inampasua kichwa. Vitu vingine vyote viko poa ila kuna mlio wa kugonga unatokea nyuma akipita kwenye rough road ambao yani inakita kwa sauti sana esp kwenye barabara yenye mawe.

Kaipeleka kwa mafundi watatu ambao walimfanya abadili shock up za nyuma mara mbili lakini hamna kitu. Spring iko poa, stabilizer bush za rear swaybar kabadili na fundi anamwambia mounting/bush ya difu ya nyuma iko poa pia.

Msaada tutani
 
Habari,

Kuna jamaa yangu ana Nissan new model t31 inampasua kichwa. Vitu vingine vyote viko poa ila kuna mlio wa kugonga unatokea nyuma akipita kwenye rough road ambao. Yani inakita kwa sauti sana esp kwenye barabara yenye mawe.

Kaipeleka kwa mafundi matatu ambao walimfanya abadili shock up mara mbili lakini hamna kitu. Spring iko poa, stabilizer bush ya rear swaybar kabadili na fundi anamwambia mounting ya difu ya nyuma iko poa pia.

Msaada tutani
Nissan aina gani?
 
Duuh nilikuwa na mpango wa kumiliki aina hii ya gari ila moyo wangu ushaanza kughairi.
Huko kote alikopeleka gari hamna mafundi....hao ni wababaishaji....fundi gani anakununulisha maspea mengi hivyo na tatizo haliishi...
Fundi anayeijua kazi yake na mzoefu angejaribu kuendesha hiyo gari umbali fulani angejua ni nimi hakijakaa sawa..
Gari halina shida...shida ni mafundi wanabahatisha badili hiki, badili kile..
 
Fundi mzuri angepanda hiyo gari na ku-trace mlio unapotoka.

Angejua panapogonga, tatizo lingetatuliwa.

Ukiona fundi hafuatilii bali anachukua tu unachosema na kufanya maamuzi ujue ameukariri ufundi, kwa hiyo atabahatisha tu.

Ulizia fundi anayeelewa gari na sio aliyekariri matatizo ya gari.
 
Sina ujuzi sana na magari ila Kuna li rubber likubwa hivi wanaliitaga titi labda limetoka ndio maana inagonga

Back
Top Bottom