Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Nimeflash simu tecno f2 lte kwa kutumia tecno flash tool mwanzonni ilikuwa na frp nimedownload file kutoka havotek nikaflash tatizo likatokea imei imefutika na baseband unknown, nikadownload tena file kutoka naija rom nikapiga file imei na baseband ikarudi ila tatizo ni sim card 1 iko locked na vodacom na iyo ndio yenye option ya 3g/4g na sim 2 ni 2g tu na ukitumia bila line ya voda sim 1 huwezi kupata mtaandao, naomba msaada nifanyanje niweze kutatatua hili tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Frp nani alikufundisha ni ya kuflash

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu ninahitaji kioo cha Samsung s10 plus kiwe used maana kipya bei yake siwezi kwa asaivi
 
Habari mafundi na poleni na majukumu ya kila iitwayo leo.
Naomba msaada wenu wa shida zangu zifuatazo.
1. Nina simu tecno camon sijajua ni camon toleo gani naitaji kupata mashine yake na bei ya maahine ni kiasi gani? (Angalia picha hapa nimeambatanisha); maana sijajua kama ni camon 15, 15 Air au 16 S japo hii ni ndefu ina karibiana na infinix hot 9
2. Nina Xiaomi LTE Note 2 haina battery na kile kisehemu cha kupachikia mkanda wa battery kwenye mashine kimetoka na cable ya switch.
 

Attachments

  • 20210226_140039.jpg
    20210226_140039.jpg
    83.4 KB · Views: 7
  • 20210226_140029.jpg
    20210226_140029.jpg
    69.8 KB · Views: 7
  • 20210226_135942.jpg
    20210226_135942.jpg
    108.7 KB · Views: 7
Habari mafundi na poleni na majukumu ya kila iitwayo leo.
Naomba msaada wenu wa shida zangu zifuatazo.
1. Nina simu tecno camon sijajua ni camon toleo gani naitaji kupata mashine yake na bei ya maahine ni kiasi gani? (Angalia picha hapa nimeambatanisha); maana sijajua kama ni camon 15, 15 Air au 16 S japo hii ni ndefu ina karibiana na infinix hot 9
2. Nina Xiaomi LTE Note 2 haina battery na kile kisehemu cha kupachikia mkanda wa battery kwenye mashine kimetoka na cable ya switch.
upo mkoa gani
 
kazi ya hardware ni ngumu sana na yenye lawama nyingi.

kuna simu unaweza ukaifungua ukaifunga na ikagoma kuwaka na wakati huo mteja alileta umbadlishie mic tu. na ukatemgeneza ugomvi mkubwa na mteja na akasema umembadilishia saketi na mnaweza kufikshana hata polisi mteja kama sio muelewa.

tatizo linakuwa wapi?

inamaana wakati unaifungua hiyo simu ulitoa betri bila kuzima simu. kwahiyo unapo toa betri hakikisha unazima simu.
na ikizima hivyo solution yake simu inatakiwa iende ikaflashiwe.
lakini tatizo lingine hawa mafundi software wanatuangusha sana mafundi hardware huwa hawataki kukomaa kabisa na wanapenda kazi rahisi rahisi na sijajua tatizo nini kwamba mazingira yanawabana au vipi.
kwasababu wao simu nyingi ukiwapelekea za kuflash. wanakuambia memory imekufa au kwenye computer haisomi lakini ukipima njia za usb ziko safi.

kazi ya hardware inahitaji akili yako zaidi tofauti na majamaa wanao deal na software wao kila kitu wanagoogle.

sisi upande hardware kuna baadi simu hata ugoogle vipi huwezi kupata solution hasa hizi tecno.

na ktk matatizo ya simu ambayo yanawatesa mafundi simu ni haya matatizo ya tecno.
na hii tuseme ukweli tecno na simu ya kimaskini na ndio maana kila mtanzania mwenye kipato cha chini anakimbilia.
na tecno ni simu ambayo matatizo yake ni pasua kichwa na ndio maana tatizo lolote ukiwapelekea tecno wenyewe wanakimbilia kubalisha saketi.

mm ni fundi ambaye natengeneza simu nyingi ambazo mafundi huwa wanzangu wanazishindwa.

siri ya ufundi simu.

1 ni kujua kuitumia mita vizuri 2 kujua kutumia gani vizuri 3 kuwa msafi 4 na kuwa mkweli.


kuna baadhi simu za tecno ambazo mafundi simu walisha kata tamaa kwamba hazi tengezeki lakini leo nitawapa baadhi ya solution kadri muda utakavyo kuwa unaniruhusu.
na kama hata ww utakuwa unasolution yoyote tutaomba tuzidi kusaidina.

tecno h5 p5 m3 hizi simu zimekuwa na tazizo sugu ukitaka kuiwasha tu inakuwa inajiminya button ya kujifomart

lakini mm kadri ya uwezo wangu nilijitahidi kugungundua solution ya hii tecno m3 kwa 100%.
6f06381cdf67ac7eb57f385f2952f45f.jpg


na leo nataka nianzie hapo baadaye nitaleta solution
za tecno

fake charging tecno h6 l5 l6 tecno c8 c5

harafu nitaleta solutiona ya mic ya tecno ya tecno t340 na tecno zote zina zinazotumia system ya chaji ya v3

na hizo solution huwezi kuzipata pale na zamani tulizoe solution kutoka india lakini hizo simu india hazipo kwahiyo waafrika tukomae.
a944acda1b58e4797615d8effa838260.jpg

a67f5381f1ad179f27405ce8800c3316.jpg
Mkuu me nikijana ambae natafuta sana kujifunza kuhusu ufundi CM naomba msaada wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom