Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Congratz ila usiseme softwares ni rahisi, kwanza ni ghari na ukitaka kuzitafuta kwenye torrent ni shida , nying zina corrupt au zina fake password

Kuna mdau ana hii shida hapa
 
kazi ya hardware ni ngumu sana na yenye lawama nyingi.

kuna simu unaweza ukaifungua ukaifunga na ikagoma kuwaka na wakati huo mteja alileta umbadlishie mic tu. na ukatemgeneza ugomvi mkubwa na mteja na akasema umembadilishia saketi na mnaweza kufikshana hata polisi mteja kama sio muelewa.

tatizo linakuwa wapi?

inamaana wakati unaifungua hiyo simu ulitoa betri bila kuzima simu. kwahiyo unapo toa betri hakikisha unazima simu.
na ikizima hivyo solution yake simu inatakiwa iende ikaflashiwe.
lakini tatizo lingine hawa mafundi software wanatuangusha sana mafundi hardware huwa hawataki kukomaa kabisa na wanapenda kazi rahisi rahisi na sijajua tatizo nini kwamba mazingira yanawabana au vipi.
kwasababu wao simu nyingi ukiwapelekea za kuflash. wanakuambia memory imekufa au kwenye computer haisomi lakini ukipima njia za usb ziko safi.

kazi ya hardware inahitaji akili yako zaidi tofauti na majamaa wanao deal na software wao kila kitu wanagoogle.

sisi upande hardware kuna baadi simu hata ugoogle vipi huwezi kupata solution hasa hizi tecno.

na ktk matatizo ya simu ambayo yanawatesa mafundi simu ni haya matatizo ya tecno.
na hii tuseme ukweli tecno na simu ya kimaskini na ndio maana kila mtanzania mwenye kipato cha chini anakimbilia.
na tecno ni simu ambayo matatizo yake ni pasua kichwa na ndio maana tatizo lolote ukiwapelekea tecno wenyewe wanakimbilia kubalisha saketi.

mm ni fundi ambaye natengeneza simu nyingi ambazo mafundi huwa wanzangu wanazishindwa.

siri ya ufundi simu.

1 ni kujua kuitumia mita vizuri 2 kujua kutumia gani vizuri 3 kuwa msafi 4 na kuwa mkweli.

kuna baadhi simu za tecno ambazo mafundi simu walisha kata tamaa kwamba hazi tengezeki lakini leo nitawapa baadhi ya solution kadri muda utakavyo kuwa unaniruhusu.
na kama hata ww utakuwa unasolution yoyote tutaomba tuzidi kusaidina.

tecno h5 p5 m3 hizi simu zimekuwa na tazizo sugu ukitaka kuiwasha tu inakuwa inajiminya button ya kujifomart

lakini mm kadri ya uwezo wangu nilijitahidi kugungundua solution ya hii tecno m3 kwa 100%.
6f06381cdf67ac7eb57f385f2952f45f.jpg

na leo nataka nianzie hapo baadaye nitaleta solution
za tecno

fake charging tecno h6 l5 l6 tecno c8 c5

harafu nitaleta solutiona ya mic ya tecno ya tecno t340 na tecno zote zina zinazotumia system ya chaji ya v3

na hizo solution huwezi kuzipata pale na zamani tulizoe solution kutoka india lakini hizo simu india hazipo kwahiyo waafrika tukomae.
a944acda1b58e4797615d8effa838260.jpg

a67f5381f1ad179f27405ce8800c3316.jpg

Tunaomba mawasiliano yako na mahali ulipo kuna wenye shida lukuki na siyo members wa JF tungependa tuwafikishe kwako
 
Hapana na mimi hapa ndio nawaza ni wapi nitaipata maana mtu kaenda tecno customer care kakosa hadi nimejaribu kama online inauzwa hata sijaona imetajwa mahalk
mkuu ulifanikiwa kupata hiki kioo?
 
Ndio mzee nilifanikiwa
mkuu na mimi unanisadiaje? nilienda tecno wakanambia wana kioo model ya p701 na p702 na vioo pia vinaingiliana, mimi yangu imeandikwa p7f kwa 55,000. Nina shida saana na hii kioo kaka.
 
mkuu na mimi unanisadiaje? nilienda tecno wakanambia wana kioo model ya p701 na p702 na vioo pia vinaingiliana, mimi yangu imeandikwa p7f kwa 55,000. Nina shida saana na hii kioo kaka.
Kwan wewe uko wap mkuu
 
mkuu na mimi unanisadiaje? nilienda tecno wakanambia wana kioo model ya p701 na p702 na vioo pia vinaingiliana, mimi yangu imeandikwa p7f kwa 55,000. Nina shida saana na hii kioo kaka.
Kama upo dar jaribu kucheki kwa Mnaigeria kkoo ndipo nlpokipatia kwa 50,000
 
Kama upo dar jaribu kucheki kwa Mnaigeria kkoo ndipo nlpokipatia kwa 50,000
kwa mnigeria nilifika akaniambia hawana vioo kama hivi na hata china havipo? naweza nikapata mawasiliano yako mkuu?
 
Write your reply...habari wakubwa. nami nahitaji na napenda sana kazi hii ya ufundi wa sim ila sjui nianzie wapi. kuna wazo lilinijia kwamba nitafute fundi mzoefu kisha nimwombe anifundishe kwa muda. sasa sjui wazo langu liko sawa au. nifanyaje. naombeni mnisaidie nifanyajeeee.
 
Wazo lako lipo sahihi kabisa mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom