Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Kwanza inabidi tujue unamiliki simu gani ambayo ina shida ya kiufundi??

Vrou van samaria give me bit of water to drink
 
Kama ni Tecno huitaji fundi mzuri. Maana fundi mzuri gharama zake ni zaidi ya thaman ya iyo simu.

Kama upo dar nenda kko mafundi wapo kibao tuu
Simu ni tecno povour 2 ambayo iliingua maji baadae ikaja kuwaka nikaichaji ikajaa ikawa ina shida ya saut na network baada ya kuisha chaji haikuwaka tena

Sent using Jamii Forums mobile app

Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
 
Simu ni tecno povour 2 ambayo iliingua maji baadae ikaja kuwaka nikaichaji ikajaa ikawa ina shida ya saut na network baada ya kuisha chaji haikuwaka tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndio ulifanya kosa kubwa sana! Siku nyngne kifaa chako chochote cha umeme (laptop,simu etc) kikiingia maji makes sure aukiwashi tena na kma bado kipo on kizime na utoe betri faster!
Mafundi weng ni wajanja janja sina ninayeweza mrecommend but hopeful utampata just be careful.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_1254.JPG
    IMG_1254.JPG
    140 KB · Views: 53
SIMU inawaka vizuri ila kioo kuna muda kinaonyesha muda kinazima chenyewe tu...Kuna muda kikiwa kimewaka kinakua kama TUBELIGHT kinazima zima then kinazima kabisaaaa...Nimeambiwa natakiwa kubadilisha Kiooo.

Simu ni SAMSUNG J5
 
kazi ya hardware ni ngumu sana na yenye lawama nyingi.

kuna simu unaweza ukaifungua ukaifunga na ikagoma kuwaka na wakati huo mteja alileta umbadlishie mic tu. na ukatemgeneza ugomvi mkubwa na mteja na akasema umembadilishia saketi na mnaweza kufikshana hata polisi mteja kama sio muelewa.

tatizo linakuwa wapi?

inamaana wakati unaifungua hiyo simu ulitoa betri bila kuzima simu. kwahiyo unapo toa betri hakikisha unazima simu.
na ikizima hivyo solution yake simu inatakiwa iende ikaflashiwe.
lakini tatizo lingine hawa mafundi software wanatuangusha sana mafundi hardware huwa hawataki kukomaa kabisa na wanapenda kazi rahisi rahisi na sijajua tatizo nini kwamba mazingira yanawabana au vipi.
kwasababu wao simu nyingi ukiwapelekea za kuflash. wanakuambia memory imekufa au kwenye computer haisomi lakini ukipima njia za usb ziko safi.

kazi ya hardware inahitaji akili yako zaidi tofauti na majamaa wanao deal na software wao kila kitu wanagoogle.

sisi upande hardware kuna baadi simu hata ugoogle vipi huwezi kupata solution hasa hizi tecno.

na ktk matatizo ya simu ambayo yanawatesa mafundi simu ni haya matatizo ya tecno.
na hii tuseme ukweli tecno na simu ya kimaskini na ndio maana kila mtanzania mwenye kipato cha chini anakimbilia.
na tecno ni simu ambayo matatizo yake ni pasua kichwa na ndio maana tatizo lolote ukiwapelekea tecno wenyewe wanakimbilia kubalisha saketi.

mm ni fundi ambaye natengeneza simu nyingi ambazo mafundi huwa wanzangu wanazishindwa.

siri ya ufundi simu.

1 ni kujua kuitumia mita vizuri 2 kujua kutumia gani vizuri 3 kuwa msafi 4 na kuwa mkweli.


kuna baadhi simu za tecno ambazo mafundi simu walisha kata tamaa kwamba hazi tengezeki lakini leo nitawapa baadhi ya solution kadri muda utakavyo kuwa unaniruhusu.
na kama hata ww utakuwa unasolution yoyote tutaomba tuzidi kusaidina.

tecno h5 p5 m3 hizi simu zimekuwa na tazizo sugu ukitaka kuiwasha tu inakuwa inajiminya button ya kujifomart

lakini mm kadri ya uwezo wangu nilijitahidi kugungundua solution ya hii tecno m3 kwa 100%.
6f06381cdf67ac7eb57f385f2952f45f.jpg


na leo nataka nianzie hapo baadaye nitaleta solution
za tecno

fake charging tecno h6 l5 l6 tecno c8 c5

harafu nitaleta solutiona ya mic ya tecno ya tecno t340 na tecno zote zina zinazotumia system ya chaji ya v3

na hizo solution huwezi kuzipata pale na zamani tulizoe solution kutoka india lakini hizo simu india hazipo kwahiyo waafrika tukomae.
a944acda1b58e4797615d8effa838260.jpg

a67f5381f1ad179f27405ce8800c3316.jpg
Mkuu mi nifundi pia wa simu.TV.subwoofer.pia.ni.mbunifu.wa.mambo.mengi.tu.lakini.kinachinisumbuaga. mpaka.saivi.ni.hilo..tatizo.la. Mic katika simu za tecno hizo ndogo.ila nilisha iwezea ila sasa nikiichomelea vizuri inaleta headphone ani mpaka hapo hua na mwambia mteja anunue tu headphone kwa matumizi katika talizo kama hilo..
Pia na ujuzi mwingi tu na imani ukinionyesha kuhusu uwekaji wa maiki kwenye hizi simu ndogo za tecno nami mambo mengi ntakusaidia au tutasaidiana an. Mkuu
 
Back
Top Bottom