Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Ninahitaji screen (kioo) cha simu ya NOKIA 6760 na fundi wa kunibadilishia hicho kioo.
Kama fundi yupo na atapata hicho kioo naomba ani pm.
nokia-surge.jpeg
 
Mafundi natumai mu wazima,iPhone 6s Plus inazingua nikibonyeza 7, 8,9 haziandiki ila zinaandika namba za juu yake au chini yake, na Kitu chochote kikiwa eneo la no.789 kama ok send na chochote kile hakifanyi kazi kikiwa eneo hilo, ni baada ya sim kuanguka, je tatizo litakuwa ni nini na tiba yake ni ipi nani Shiling ngapi? Masada tafazali
 
Endapo njia ya mic zimekufa unaweza funga vp hyo mic ifanye kazi,pia speaker,na system charge kwa sim za batan
 
Simu yangu tecno L6
Nikifungua data inaganda ganda
Na nina ingine tecno h6 nayo ina tatzo la kupata joto sana sehem ya kupunguza na kuongeza sauti pia haipunguzi sauti wala haiongezi na line 2 inasoma na kuachia mwenye kulijua Hilo tatizo twende sawa
 
Mafundi natumai mu wazima,iPhone 6s Plus inazingua nikibonyeza 7, 8,9 haziandiki ila zinaandika namba za juu yake au chini yake, na Kitu chochote kikiwa eneo la no.789 kama ok send na chochote kile hakifanyi kazi kikiwa eneo hilo, ni baada ya sim kuanguka, je tatizo litakuwa ni nini na tiba yake ni ipi nani Shiling ngapi? Masada tafazali
Touch imekufa kabadilishe
 
Tatzo ni touch
 
Simu yangu tecno L6
Nikifungua data inaganda ganda
Na nina ingine tecno h6 nayo ina tatzo la kupata joto sana sehem ya kupunguza na kuongeza sauti pia haipunguzi sauti wala haiongezi na line 2 inasoma na kuachia mwenye kulijua Hilo tatizo twende sawa
L6 ya mpatie fundi aiflash .hyo h6 pia muone fundi wako wa karibu ndo aifungue aicheck
 
Wakuu mimi ni fundi ninae chipukia, kuna simu moja ya kwangu tecno w5, inachukua muda mrefu sana kujaa napoiweka chaji, ikiwa na asilimia 10% inachukua zaidi ya masaa 12 kujaa paka asilimia 100%,
Nimebadilisha plate nzima ya system charge lakini bado tatizo lipo pale pale,
Tatizo litakuwa ni betri au mashine ndo inazingua?
Msaada kutoka kwa mafundi wenzangu tafadhali
 
Hapo huenda ikawa chaja unayoitumia au ic ya simu ndio imezingua
 
Nimetumia charger tofauti tofauti lakin tatizo ni ilo ilo,
Kama tatizo ni ic, za tecno huwa zinaweza kubadilishwa, au paka mtu abadilishe mashine nzima
 
Wakuu naitaji battery na hub/port au mtu anayeweza kufanya looping ya battery y hii simu ni XIAOMI MI NOTE LTE
IMG_20181012_151412.jpg
IMG_20181012_155538.jpg
 
Nahitaji circuit za hizi simu.
Lg g4
Huawei g620
Tecno y6
Iphone 6

Mwenye mojawapo anicheck 0763976109 0658190978 location ni Dsm
 
Back
Top Bottom