Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Wakuu ahsanteni kwa uzi huu unaotuhusu hata sisi watumiaji wa simu. Na mimi naomba ufumbuzi wa tatizo la Camera kwenye simu yangu aina ya Samsung Galaxy A8. Ukifungua camera inasema "Warning. Camera failed. Tatizo hili limesababishwa na nini na nini ufumbuzi wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejaribu kwenda kwenye Application Manager uclear data and catche? Au pia jaribu kuforce stop then itest, ikigoma kabisa fanya factory reset, bado ikisumbua peleka kwa fundi.
 
Camera yaweza kuwa loose kwa njia yoyote, kufa au pia tatizo la software

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejaribu kwenda kwenye Application Manager uclear data and catche? Au pia jaribu kuforce stop then itest, ikigoma kabisa fanya factory reset, bado ikisumbua peleka kwa fundi.
Hizo njia zote nilishashauriwa na nikazitumia lkn bado tatizo liko pale pale. Kwa mafundi nimeshakwenda kwa watatu tofauti lkn kila mmoja aliniambia tatizo tofauti. Wa kwanza alisema ni ic so ataitafuta akiipata tutawasiliana. Mwingine akasema ni setting ndio tatizo so nitafute watu wa software. Wa mwisho alisema ni Camera inatakiwa kubadilishwa. sikupata ufumbuzi wa uhakika. Naamini hapa kuna mafundi ambao wameshakutana na tatizo hili na wanajua sababu na solution yake. Tafadhali tuwasiliane hapa au kwa namba hizi 0769725553. Cjui bado kuingia pm so usinitumie msg pm. Ahsante sana.

Aliyesema ni camera yahitaji kubaririshwa ama kufanyiwa marekebisho yupo sahihi.
 
Display wauzaje Mkuu, mimi circuit yangu ina virus, inabidi uiflash, tatizo lake ni kuwa after 3 minutes inajirestart simu na sms inaingia kila baada ya simu kujirestart.
display nauza 120k hyo saketi yako njoo nayo tuiflash. kiufupi kila kitu nitafanya mwenyewe then ww unamaliza na pesa ya kioo
 
Nina xperia zl yangu ilikufa sysytem charger ila niliamua kuiweka kabatini kwani ni ya siku nyingi nimeichoka, kwa mwenye uhitaji wa hardware zake esp kioo anaweza ni-PM
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom