Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

5223fd3f8dfc61af2ba902340600eb2a.jpg
004e971f5dcf4c7bdec9f25c5ddc1f5f.jpg
b3fbf448f4f0905ad3c1fc4a15707a54.jpg
8ab8b1ff9fb2945b23448b4c71ceefd4.jpg
7d7bff13cc6c53e8354419c032e407c3.jpg
ba7160e4fdeec4d45261f8c7d4617b92.jpg
2975e72a9f0d6da9feb700b6203909ef.jpg
7bda3bcf774250b25ad14fa0a907b7b7.jpg

Kwa hard ware ntajitahidi mpaka niwe navyo huvi vyotee
 
Tumia sd card upgrade 10000% uhakika.. bt cyo sd cards zote zinazokubali, km ni fundi hope unalijua hlo... ikishindikana kabisa kata usb cable then tafuta DM,DP,GND na VBAT hzo ni mbadala wa hyo usb yako
Mkuu toleo hili la huawei halisapot sd card upgrade... Hapo mwishon ulivoelezea sijakupata coz me sio fundi
 
Ujajibu swali kuna vyuo vina fundisha kozi kama hizi hapa Bongo Mkuu
kwa tanzania sijajua kama bado kuna vyuo vinafundisha kozi ya ufundi simu. ila mafundi wa simu wa zamani kuanzia mwaka 2003 enzi za simens motorola philips nk.
lakwalikuwa wanajifunza vyuo vya ufundi veta.
lakini saizi ufundi umebadilika sana. hata kama wanafundisha ufundi simu.
sijajua kama bado wanaendelea kufundisha kozi ambazo zinaendana na wakati

kwa upande wangu mm nilijifunza kwa mtu ambaye alijifunza veta ila na mm nimejiongeza sana kwa kusoma online.

ila mwanafunzi mzuri ni yule anaye fundishwa kitu na yeye anagundua kitu.
 
Veta waliondoa hiyo kozi walinambia nikitaka kazi ya ufundi simu nisome eletronics.
 
6e712aba5356aef0f19553266c3665fb.jpg

Njia tatu zipo tatu hazipo Samsung gt-s5301 kwa mwenye mchoro wa hiyo simu au maelezo.

Blaster hazole1
mjomba naona ww ufundi bado sana. na upo kwenye hatua za mwanzo sana naona hapo jinsi ulivyo vuluga. lakini huenda baadaye utakuwa fundi mzuri kwanaama unapenda kuhoji.

hapo mbona nimekupa mchoro umeshindwa kuutumia? na imekuwaje hiyo simu umeitengeneza bila kuifungua?

sasa fanya hivi ifungue hiyo simu ipige picha vizuri maeneo hayo ya simcard nikichoree mchoro mwingine.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mkuu mimi nina Samsung note 2 screen ime freeze na kuwa nyeupe. Itapona kweli fund? ??
 
Asante mkuu mchoro huu ninao.

Hizo njia zilizong'oka zimeng'oka kiasi kwamba. zote ukipima zinasoma GND

Nimeenda karikoo wakanishauri nitafute simu nzima kama hiyo.
Nami simu nzima sina.

Inahitajika njia tatu nichome kama kawaida.

Hiyo moja ya flash ndiyo sielewi nichomee wap jumper.
je unajua kutumia meter apo njia inayotakiwa n moja tu vp unahangaika na izo 2 za nn
updates
hyo ilyoonyeshwa mstar wa blue ndio muhim fanya uwezavyo isguse ground then maker jumper to the connector
fuata hyo dot point things over
 
Asante mkuu ngoja nifanye hivyo
 
msaada wakuu simu hii ya Tecno340 inasumbua upande wa network nmetumia njia hiyo kwenye picha lkn bado imegoma
 
Attachments

  • 20170419_124359-BlendCollage.jpg
    20170419_124359-BlendCollage.jpg
    103 KB · Views: 93

Similar Discussions

Back
Top Bottom