Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi hardware naomba msaada wa kujifunza ufundi simu nipo gongolamboto km naweza pata fund ambaye yupo maeneo hayo Mambo ya gharama ntalipa km naweza pata fundi wa maeneo hayo ani pm tuyajenge
 
Msaada jamani nina simu aina ya Nokia 6.1plus nilipeleka kwa Fundi akaniambia POWER AC imekufa ila alikuwa hana hicho kifaa ambaye anaweza kunisaidia nahitaji msaada wakuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom