Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

2991

JF-Expert Member
Feb 3, 2017
619
626
Habarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.

Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane
 
habarini wana JF, hop mko gud mnaendelea na harakati za weekend. mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia. Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi tunaweza kuwa na whatsapp group ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane
Sawa mkuu tupo pamoja. Ngoja tuagize hata soda tuwasubili waje
 
kuna kitu ambacho tunashindwa kuelewa na km huelewi ni vema kuuliza... kuna flashing, unlocking na repair.. kosa ni kufanya IMEI CHANGE yaani ije cmu lets say tecno p5 ambayo imei zake ziko blacklisted hvyo haina network then mimi nichukue imei za cmu nyingine iliyokufa mfano nokia 1280 niziandike kwenye ile p5 ambayo iko blacklisted..
 
Kweli. Maana walioishika nchi wenyewe hawajui hizi mambo. Imei repair sio dhambi kabisaaaa
 
na hata TCRA watakukamata utakapofanya imei change.. imei repair to original factory imei cyo kosa.. wanachokataa ni pale ambapo cmu husika ni kwamfano tecno boom j7 then imei zake zisome samsung e1205 asee hapo wakikushika umekwisha
 
Habar zenu wadau mimi c fundi bali niko intrested na hayo mambo ya repairing phnes software problms nilikua naomba details kdgo kuhusu haya mabox ya kuflash cmu how do they work kwa maana mm personally hufanyaga flashng,rootin n repairing imeis ila kupitia kusoma articles na post za forum xda developers na sites zingne
 
box ni hardware ambayo inafanya kazi pa1 na software, kwa mfano box yetu ni BST DONGLE kwahyo kale ka dongle ndo hardware while ile installation setup ndo software.. zenyewe huwa zina muunganiko wa codes ambapo mtumiaji kazi yako ni kuchagua operation unayoitaka then those codes zilishakuwa prepared and they will operate as u have chosen... kwa maelezo rahisi ni vifaa ambavyo tunavitumia kufanyia flashing, unlocking and repair n kingine ni kwamba kuna operations ambazo tunaweza kuzifanya pasina kutumia hizo boxes ila zile most advanced zinazohusisha advanced security bac zitahitaji box na si tu box bt box ambayo iko advanced.. baadhi ya simu zenye advanced security ni kama samsung hasa latest models with their securities like REACTIVATION LOCK na hata kwenye kufanya repair hasa hasa reading and writing of certs na hata qcn.. huduma nyingi za hizi simu za kichina huwa zinafanyika na hizo box bt nyingi kama cyo zote huhitaji box.. kuna DEVELOPERS ambao hufanya baadhi ya hizi software za box zitumike bila ya kuwa na hardware yake na kwa lugha rahisi tunaziita CRACKS yaani box software ambayo iko cracked.. kwa mfano Z3X box unaweza ukatumia software yake bila kuwa na hardware yake lakini ikumbukwe box yoyote ambayo iko cracked itafanya baadhi ya kazi na si zote na kwa mfano wa hyo box tajwa hapo juu yaani Z3X operations nyingi za repair and unlock hazitofanya kazi na utakapotumia hizo cracks unakuwa huna uwezo wa kufanya update hadi usubiri developers wafanye cracking ya version tofauti.. watengenezaji wa hizo box huwa wanajua pia kama kuna watu wanaofanya cracking ya software zao hvyo kila wanavyofanya update huwa wana improve securities na ndo maana box nyingi za kisasa zinatumia SMARTCARD tofauti na box za zamani kama VOLCANO,GPG na nyingine... hope ntakiwa nimejibu hata kwa 10% bt sory for very long and boring answer
 
Asante mkuu nimekupata so hzo box bei zake zinaendaje
 
daa umeeleza kwa 90% safi kabisaa
 
Asante mkuu nimekupata so hzo box bei zake zinaendaje
kila box ina bei yake na bei hutegemea na kazi za box husika na kwenye kufanya uchaguzi wa box gani utumie kwanza yakupasa uangalie soko la hapo ulipo je ni simu zipi unakutana nazo sana?. kuna box ambazo zinafanya kazi na simu chache mfano z3x ni samsung na lg na kuna box zinazofanya kazi na simu nyingi mfano nck na pia kuna box ambazo huduma zake ni lazima ufanye malipo ya kila mwaka na nyingine ni bure kabisa. pia kwenye hzo za malipo ya kila mwaka kuna ambazo malipo yake ni general mfano NCK na nyingine ambazo unafanya malipo kwa kila pack mfano SIGMAKEY... box nyingi za kisasa zinaanzia 300000/= ingawaje unaweza ukatafuta hata kwa watu zilizotumika ambapo bei huwa imepungua
 
box ni hardware ambayo inafanya kazi pa1 na software, kwa mfano box yetu ni BST DONGLE kwahyo kale ka dongle ndo hardware while ile installation setup ndo software.. zenyewe huwa zina muunganiko wa codes ambapo mtumiaji kazi yako ni kuchagua operation unayoitaka then those codes zilishakuwa prepared and they will operate as u have chosen... kwa maelezo rahisi ni vifaa ambavyo tunavitumia kufanyia flashing, unlocking and repair n kingine ni kwamba kuna operations ambazo tunaweza kuzifanya pasina kutumia hizo boxes ila zile most advanced zinazohusisha advanced security bac zitahitaji box na si tu box bt box ambayo iko advanced.. baadhi ya simu zenye advanced security ni kama samsung hasa latest models with their securities like REACTIVATION LOCK na hata kwenye kufanya repair hasa hasa reading and writing of certs na hata qcn.. huduma nyingi za hizi simu za kichina huwa zinafanyika na hizo box bt nyingi kama cyo zote huhitaji box.. kuna DEVELOPERS ambao hufanya baadhi ya hizi software za box zitumike bila ya kuwa na hardware yake na kwa lugha rahisi tunaziita CRACKS yaani box software ambayo iko cracked.. kwa mfano Z3X box unaweza ukatumia software yake bila kuwa na hardware yake lakini ikumbukwe box yoyote ambayo iko cracked itafanya baadhi ya kazi na si zote na kwa mfano wa hyo box tajwa hapo juu yaani Z3X operations nyingi za repair and unlock hazitofanya kazi na utakapotumia hizo cracks unakuwa huna uwezo wa kufanya update hadi usubiri developers wafanye cracking ya version tofauti.. watengenezaji wa hizo box huwa wanajua pia kama kuna watu wanaofanya cracking ya software zao hvyo kila wanavyofanya update huwa wana improve securities na ndo maana box nyingi za kisasa zinatumia SMARTCARD tofauti na box za zamani kama VOLCANO,GPG na nyingine... hope ntakiwa nimejibu hata kwa 10% bt sory for very long and boring answer
Wakiupdate sisi tunaconfigurate upyaaa...
 
Habarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.

Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane
Nakukubali sana kiongozi wetu tuko pamoja mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom