Mafundi na wataalamu wa ujenzi nipe mawazo

saede mbondela

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
368
237
Wazee nafikiria kuanza maisha nikiwa na kibanda changu.
Nijiandae na kiasi gani ili niweza kujenga vyumba 2 na seble toi na jiko humohumo.
 
Yaani hapo mpaka umalize kabisa (finishing) ambayo ndio inamaliza hela nyingi uwe na milioni 30 ndugu yangu
 
Mil 25 ikiwa kiwanja unacho
Nyingi sana hiyo. Aseme yuko wapi? Je sehemu alipo naweza kutumia Rasilimali zake kwa ajili ya kuanza ujenzi? Je nakiwanja? tofali gani zinatumika huko? Ni za kuchoma au Block? Udongo wake ukoje? je anaweza utumia kama mortal.
 
acha masihara bhana.

Wazee nafikiria kuanza maisha nikiwa na kibanda changu.
Nijiandae na kiasi gani ili niweza kujenga vyumba 2 na seble toi na jiko humohumo.

Weka details za kutosha watu wakusaidie.

Nimeanza kujenda nikiwa na sh 300,000 tu. Na kwenye nyumba hiyo sasa hivi watu wanaishi na nakula kodi ya 250,000 kwa mwezi.
 
Uko wapi? Ujenzi pia inategemea na mahali ulipo na malighafi zinazokuzunguka.
 
Nyingi sana hiyo. Aseme yuko wapi? Je sehemu alipo naweza kutumia Rasilimali zake kwa ajili ya kuanza ujenzi? Je nakiwanja? tofali gani zinatumika huko? Ni za kuchoma au Block? Udongo wake ukoje? je anaweza utumia kama mortal.
nipo maeneo ya salasala pia nipo karibu na mchanga vilevle nipo karib na wafyatua matofali
 
Weka details za kutosha watu wakusaidie.

Nimeanza kujenda nikiwa na sh 300,000 tu. Na kwenye nyumba hiyo sasa hivi watu wanaishi na nakula kodi ya 250,000 kwa mwezi.
hiyo nyumba yako ina ukubwa kiasi gan na mpaka kukamilika kwake ulitumia sh ngapi
binafsi nina plot na mchanga wa kutosha
 
Back
Top Bottom