Mafumbo ya Nape Nnauye Twitter hayaonekani Tena, sababu Nini?

Toka aombe na kupewa msamaha sijaona Tena ujumbe wowote kutoka kwa Nape Nnauye hukoTwitter wenye mafumbo kutoka kwa huyu mwanasiasa, tatizo ni nini, au hiyo likuwepo kwenye kitita Cha msamaha?
Maana ya kuomba msamaha ni kukiri makosa uliyo yafanya, Nape hakuwa akiandika kutetea wananchi wake, alitupa jiwe kizani likagonga mti na kumrudia, kurudia kuandika mafumbo kwa njia ya kukosoa ni kurudia kosa naye anaishi katika falsafa ya kiswahili "kosa si kosa bali kurudia kosa ndiyo kosa " lakini nikumbushe pia kuwa tupo Kwenye political forgiveness system ili kulinda kitumbua kisitiwe mchanga ukizingatia chujio la anayepitisha majina amelishika kosolewaji
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom