Mafumbo ya Nape Nnauye Twitter hayaonekani Tena, sababu Nini?

Toka aombe na kupewa msamaha sijaona Tena ujumbe wowote kutoka kwa Nape Nnauye hukoTwitter wenye mafumbo kutoka kwa huyu mwanasiasa, tatizo ni nini, au hiyo likuwepo kwenye kitita Cha msamaha?

Ameanza kulipa kodi stahiki I guess🤣🤣🤣🤣
 
Msumari wa mwanaume mwenzio ukiingia jichoni utawatangazia watu?ili wakucheke?utakaa kimya tu hata kama wewe ni Tozi nyangema!!!
 
Toka aombe na kupewa msamaha sijaona Tena ujumbe wowote kutoka kwa Nape Nnauye hukoTwitter wenye mafumbo kutoka kwa huyu mwanasiasa, tatizo ni nini, au hiyo likuwepo kwenye kitita Cha msamaha?

Nape ni kobe anatunga sheria!

Beware aisee!

Mawe asifikiri yupo salama sana na inner circle yake na huko CCM!
 
Alikuwa anarusha mawe akasahau anaishi jumba la vioo, kwa hiyo nao walipookota mawe wamlenge yeye amenyoosha mikono juu.

Sasa hivi ukimuuliza atakwambia "mimi huwa sipendi ugomvi"
 
Mzee makamba alipomfuta uanachama CCM alimwambia huwezi kukata tawi la mti huku umekalia tawi hilohilo na ukabaki salama
 
Toka aombe na kupewa msamaha sijaona Tena ujumbe wowote kutoka kwa Nape Nnauye hukoTwitter wenye mafumbo kutoka kwa huyu mwanasiasa, tatizo ni nini, au hiyo likuwepo kwenye kitita Cha msamaha?
Huyo dogo wenge tu. Kawaponza akina kipilimba, mwangonda na yule alikuwa Mkurugenzi wa NEC
 
Kumbe Yale mafumbo yalikuwa kwa ajili ya majungu hayakuwa kwa ajili kutetea wananchi wa Jimbo lake, hapo nimekuulewa
lini ccm wametetea wananchi alikuwa moja tu ccm aliyewatetea wananchi na watanzania wakamlilia sana yule nabii na baba yetu wa taifa. Walipomuuliza akawambia ccm sio baba yangu wala mama yangu. Aliwachosha sana sasa ivi wanamtumia sana jina lake ili angalau waeleweke
 
Tetetetetetete
 
Back
Top Bottom