Mafumbo ya Nape Nnauye Twitter hayaonekani Tena, sababu Nini?

Na akakemewa Sana na kuondoka kwa aibu kubwa sana
Yale makeke yote kwisha! Mwanaume ukiamua kupigana unatakiwa uwe na msimamo!

Itakuwa Membe na Kinana wamemwambia, " Our lives (the two of us) are over, you have fought a good battle young man, now just run away to leave for another day!"
 
"Nape ni kijana mzuri sana, aliharibika tu hapa kati lakini sasa kaomba msamaha na nimemsamehe"
 
Baada ya kudukuliwa kwa "gossips" zake ukijumuisha na jumbe zake za mara kwa mara kwa njia ya" tweeter" zenye kuonyesha kukosa utiifu, ameamua sasa kutulizana tu ili kulinda hatma yake ya kisiasa. "If you can't fight them, join them' hii ndiyo "only option" aliyokuwa amebaki nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa atulie kabisa maana watammaliza
 
Vurugu zozote hutokana na kukosa keki.. Ukishamegewa sehemu yako.... Kelele zote hukoma.
Toka aombe na kupewa msamaha sijaona Tena ujumbe wowote kutoka kwa Nape Nnauye hukoTwitter wenye mafumbo kutoka kwa huyu mwanasiasa, tatizo ni nini, au hiyo likuwepo kwenye kitita Cha msamaha?

Jr
 
Back
Top Bottom