Mafua makali ya kuku

GS17

Member
Sep 6, 2018
5
3
Kuku wangu, wanakoroma banda zima sasa, (Layers-Bovan Brown)

Utagaji umeshuka sana, kuliko maelezo,
Nshatumia Erovet-20 (Enrofloxacin) Siku tano mfululizo, lakini bado hali ni tete, wanakoroma sana, pia hawatagi, kula pia hawali vizuri, sana kama mwanzo,

Mafua Mafua jamani, yanaturudisha nyuma sana,

Msaada tafadhali,
 
Naona Wadau hawajatokea, jaribu kutafuta instagram page za mambo ya kilimo na ufugaji waweza kupata mawasiliano na Wataalamu.
 
Nilitwanga kitunguu saumu,nikachuja vizuri.

Nikawapa robo kijiko kila mmija,siku mbili tu walipona.
 
Back
Top Bottom