Mafisadi yanaangaika kufanya uzushi

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,086
15,932
Baada kushindwa na mbinu ya madawa ya kulevya dhidi ya mwenyekiti leo mafisadi yameleta uzushi mwingine ili kumtoa kiongozi wa KUB kwenye reli,

majifisadi haya pia kama mnakumbuka yalimjaribu gwajima,kwenye uzushi wa madawa ya kulevya akawabwaga baada ya hapo wakatengeneza uzushi wa gwajima kutelekeza mtoto nalo pia lilibuma baada ya clouds kukataa kushirikiana mpaka waziri wa habari walipo mla nyama wenyewe kwa kumtoa kafara,

Mafisadi yapo kazini tuwe makini
 
Kumbe bado kuna mafisadi mengine hayajahamia CHADEMA?
 
Majizi ya rasilimali zetu yamebaki kupambana na Mbowe kwa propaganda mfu baada ya kushindwa vibaya kuitafuta Tanzania ya viwanda
 
FB_IMG_1496602796685.jpg

Swissme
 
Back
Top Bottom