Mafisadi Washinda

iya

New Member
Feb 9, 2007
4
0
Nasema mafisadi wameshinda kwa sababu wamefanya ufisadi mpaka Forum ya DINI imepotea mafisadi wakubwa nyie.
 
Tehe tehe ngoja nicheke mie
Ngoja nikupe sapoti ili haka kathread kasije kufa bila hata ka reply kamoja
T
 
Ni kweli huu ni kama ufisadi maana dini moja inaonekana kama haitaki kusemwa ikisemwa yanaitwa matusi. Sasa tunaisema ccm na viongozi wake na wao wataita matusi mwisho itafungwa hii forum. Hakuna demokrsia hapa.
 
Back
Top Bottom