Mafisadi walivyoni "beep'

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,392
39,493
kwa karibu wiki nzima sasa nimeshindwa kuingia kwenye mojawapo ya email zangu muhimu sana. Jina na Password vyote vinakataa na kila nikiomba kuretrieve password yangu inanipa correct one lakini hainuruhusu kuingia. Mwishoni jana usiku ikabidi niwaandikie wamiliki wa mtandao huo: Hili hapa ni jibu lao kwangu muda mfupi uliopita:

Dear Member,

Our systems have very sensitive abuse and fraud detection mechanisms that
recognized suspicious activity in your account and disabled it. We have now
re-enabled your account.

This system recognized patterns similar to those used on spam/scam emails on
your account, but after manual reviewing we found this to be not the case.

We apologize for the inconvenience.

Regards,
Your Support Team

--
Alex B
Mail.com Support

gademu mafisadi!
 
kwa karibu wiki nzima sasa nimeshindwa kuingia kwenye mojawapo ya email zangu muhimu sana. Jina na Password vyote vinakataa na kila nikiomba kuretrieve password yangu inanipa correct one lakini hainuruhusu kuingia. Mwishoni jana usiku ikabidi niwaandikie wamiliki wa mtandao huo: Hili hapa ni jibu lao kwangu muda mfupi uliopita:gademu mafisadi!

Mkuu naona wanakutafuta kwa njia halali na zisizo halali pia. uwe macho kwani vita bado ni ndefu....ningependa siku moja tukimaliza vita hii basi wote tuweze kusema
'nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza na imani nimeishinda!'

Kila la heri mkuu
 
kwa karibu wiki nzima sasa nimeshindwa kuingia kwenye mojawapo ya email zangu muhimu sana. Jina na Password vyote vinakataa na kila nikiomba kuretrieve password yangu inanipa correct one lakini hainuruhusu kuingia. Mwishoni jana usiku ikabidi niwaandikie wamiliki wa mtandao huo: Hili hapa ni jibu lao kwangu muda mfupi uliopita:gademu mafisadi!

Wameshakuingiza kwenye kundi la Mwananchi, Mwanahalisi etc katika kuhakikisha kwamba hayapatikani mtandaoni. Inabidi ujikinge barabara vinginevyo wataanza kucheza na KLH News ili nayo waiondowe hewani.
 
Bado wapo hapa wanaangalia sana ip address zetu. Sijui kama tuko salama kwa sasa.
 
Moto unaowashwa hapa kijijini sio mdogo wa kuuzima, watajaribu ila sidhani kama utazimika.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom