Ex Spy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2007
- 213
- 1,726
Kuna taarifa kwamba wale watuhumiwa wakuu wa ufisadi, Lowassa, Rostam na Chenge, wameanza kuwekeza kwa nguvu ndani ya Chadema na matokeo yake yataanza kuonekana leo mjini Tabora ambako mwelekeo utabadilika ili waonekane wao ni safi na sasa wameanzisha vita ya kuonyesha "katika ujambazi hatukua peke yetu, mbona wenzetu wameachwa??"