Mafisadi sasa kumekucha

Hahaaa comedy hiyo tumeshazoea huyu richmond alishikia bango kumbe nae walewale wapigaji.....waanze richmond tuone kma wako serious
 
mafisadi? Nafikiri lowassa ndio fisadi tu nchi hii baada ya kuhama CCM, mwingine yoyote hata aibe kiasi gani sio fisadi, wengine wamepigiwa kampeni na hiki chama kinachochukia ufisadi, wengine wamepewa nyadhifa bungeni,

wakati watu hawa walipaswa kunyang'anywa kadi ya chama na kufikishwa mahakamani ila wakawapitisha kwenye kura ya maoni na kuwa wagombea ubunge na wakapigiwa kampeni nzito,

kwani huyu Lowassa anayeandamwa na hawa wanaomtukuza huyu baada ya kukatwa jina angeamua kubaki CCM na kugombea ubunge kwani Magufuli asingempigia kampeni na kumsifu?

halafu leo hii tunaambiwa kuna mahakama ya mafisadi inaanzishwa kisha tunachekelea? Watanzania mbona tunakuwa mazuzu hivi?
Mbona mbowe hamjamnyang'anya kadi?
 
Back
Top Bottom