Mafisadi CCM waendelea

Tujisenti

JF-Expert Member
May 21, 2008
343
11
Magazeti ya Kulikoni na Thisday yaliripoti jana kwamba shehena kubwa la nyara za serikali limekamatwa Iringa likitokea Mkoa wa Mbeya kupelekwa nje.Mhusika mkubwa ni kigogo wa CCM Mkoa wa Mbeya mwenye uhusiao wakaribu na viongozi wa juu. Kwa miaka mingi huyo kigogo amekua akijishugulisha na biashara haramu ya nyara za serikali. Tutapona kweli na hao mafisadi. Tuko katikati ya vita na mafisadi na huko wakubwa wa CCM wanaendelea na kamchezo kao.
 
Mkuu lete ufafanuzi, hapa umeandika kwa mafumbo tu, au tafuta na utuletee habari kamili. Hivi ilivyo, haichezeki.
 
Jamani si kuna waliotuambia kuwa hawataki dataz na haabari za udaku hapa JF, sasa kulikoni tena wao ndio wameanza tena? au?
 
Mheshimiwa Tujisenti, tunaomba walau link ya habari hiyo kama unayo ili tujisomee wenyewe... nimecheki website ya This day naona hawana archives au kama wanayo basi sijaiona...
 
Mkuu Es walisema kukupinga kwa data zako kwa maslahi binafsi labda ulisema ukawakamata pabaya .JF ina watu wa kila namna so tegemea maajabu .
 
Jamani si kuna waliotuambia kuwa hawataki dataz na haabari za udaku hapa JF, sasa kulikoni tena wao ndio wameanza tena? au?

Mkuu FMES heshima kwako,

maneno mazito hayo,kuna watu ambao siku zote wako mbele kudiscredit data za watu ilhali wao hushindwa kuja na hata habari moja.Ni kweli kila mtu angependa kupata habari za uhakika ila wengine humu wamezidi kuwadicredit wenzao,matokeo yake ni kujaza tu academic and intellectual arguments badala ya kuangalia ukweli halisi.Mafisadi hawana muda wa academic & intellectual arguments,kwao ni mradi wapate wakitakacho...

FMES na wenzako nyie tuleteeni tu data kwa sisi ambao huwa tuko mbali na jiko,hayo mambo ya kuleta academics mi kwangu hayana nafasi,kwani fisadi inapaswa akomwe kweupe kabisa kwa staili ile ile wanayoiba pesa zetu...
 
Jamani someni magazeti ya Thisday na Kulikoni ya Jumatano tarehe 4/6 /2008
 
Hawa watu mwaka huu...

p1.jpg

p2.jpg

p3.jpg
 
Magazeti ya Kulikoni na Thisday yaliripoti jana kwamba shehena kubwa la nyara za serikali limekamatwa Iringa likitokea Mkoa wa Mbeya kupelekwa nje.Mhusika mkubwa ni kigogo wa CCM Mkoa wa Mbeya mwenye uhusiao wakaribu na viongozi wa juu. Kwa miaka mingi huyo kigogo amekua akijishugulisha na biashara haramu ya nyara za serikali. Tutapona kweli na hao mafisadi. Tuko katikati ya vita na mafisadi na huko wakubwa wa CCM wanaendelea na kamchezo kao.

Watanzania tumeapa kuitokomeza ccm hata kama ccm wataendelea kuhujumu mikutano ya chadema. CCM endeleeni kuvuruga amani katika mikutano ya chadema lakini mjue kwamba Hatuko tayari kuendelea kutawaliwa na Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi. Maana halisi ya ufisadi ni Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi hivyo ccm msizani maovu yenu kuyaita ufisadi maana yake hatujui

Mkuu FMES heshima kwako,

maneno mazito hayo,kuna watu ambao siku zote wako mbele kudiscredit data za watu ilhali wao hushindwa kuja na hata habari moja.Ni kweli kila mtu angependa kupata habari za uhakika ila wengine humu wamezidi kuwadicredit wenzao,matokeo yake ni kujaza tu academic and intellectual arguments badala ya kuangalia ukweli halisi.Mafisadi hawana muda wa academic & intellectual arguments,kwao ni mradi wapate wakitakacho...

FMES na wenzako nyie tuleteeni tu data kwa sisi ambao huwa tuko mbali na jiko,hayo mambo ya kuleta academics mi kwangu hayana nafasi,kwani fisadi inapaswa akomwe kweupe kabisa kwa staili ile ile wanayoiba pesa zetu...

Watanzania tumeapa kuitokomeza ccm hata kama ccm wataendelea kuhujumu mikutano ya chadema. CCM endeleeni kuvuruga amani katika mikutano ya chadema lakini mjue kwamba Hatuko tayari kuendelea kutawaliwa na Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi. Maana halisi ya ufisadi ni Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi hivyo ccm msizani maovu yenu kuyaita ufisadi maana yake hatujui

Ewe mtanzanzania umewahi kujiuliza wala kutafuta kujua washitakiwa wa kutorosha twiga nje. Zinduka tembo/kifaru wanapotea TZ kinana atalaniwa kwa hili
 
Ewe mtanzanzania umewahi kujiuliza wala kutafuta kujua washitakiwa wa kutorosha twiga nje. Zinduka tembo/kifaru wanapotea TZ CCM atalaniwa kwa hili
 
Ewe mtanzanzania umewahi kujiuliza wala kutafuta kujua washitakiwa wa kutorosha twiga nje. Zinduka tembo/kifaru wanapotea TZ CCM atalaniwa kwa hili
 
Mheshimiwa Tujisenti, tunaomba walau link ya habari hiyo kama unayo ili tujisomee wenyewe... nimecheki website ya This day naona hawana archives au kama wanayo basi sijaiona...

Ewe mtanzanzania umewahi kujiuliza wala kutafuta kujua washitakiwa wa kutorosha twiga nje. Zinduka tembo/kifaru wanapotea TZ CCM atalaniwa kwa hili

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom