Magazeti ya Kulikoni na Thisday yaliripoti jana kwamba shehena kubwa la nyara za serikali limekamatwa Iringa likitokea Mkoa wa Mbeya kupelekwa nje.Mhusika mkubwa ni kigogo wa CCM Mkoa wa Mbeya mwenye uhusiao wakaribu na viongozi wa juu. Kwa miaka mingi huyo kigogo amekua akijishugulisha na biashara haramu ya nyara za serikali. Tutapona kweli na hao mafisadi. Tuko katikati ya vita na mafisadi na huko wakubwa wa CCM wanaendelea na kamchezo kao.