Mafioso wa Tanzania

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
"Mafia" wa Marekani kaskazini walianza kushika vyama vya wafanyakazi. "Mafia" wa Tanzania wanashika vyombo vya habari.

Nawatahadharisha wa Tanzania, wachunge sana wafanya biashara wenye kumiliki vyombo vya habari vyenye u "mimi". Hawa ni sumu kabisa, kwani wanawahadaa mass population kwa kujitengenezea sifa na habari njema kuhusu wao, kinyume na walivyo.

Huko Serikalini na watu wa uwt, watazameni sana hawa watu binafsi wenye vyombo vya habari, wasije wakaipeleka nchi wanapopataka wao.
 
Wee Dar Es Salaam, huu sasa ni uchokozi huu, we subiri wenyewe wakikusikia na vibaraka wao waliojaa humu jf, watakushukia!.
Usija ukajidai hukujua, 'you have been warned!'.
 
Back
Top Bottom