Mafinga kinara wa ngono zembe na kuenea kwa UKIMWI hapa Tanzania

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Mafinga ni Mji uliopo Mkoa wa Iringa njia kuu ya Iringa Mbeya Tunduma Malawi Zambia Afrika ya kusini n.k

Ni sehemu ambayo malori yanapaki sana...Yaani kuna starehe na bata za kufa mtu... Wanawake wanajiuza sana... Wanalala sana na madereva wengi sana wa malori, gari za kwenda nje ya nchi (IT)..

Nimekaa Mafinga wiki 3 za kazi ni hatari sana.
Ufuska wa kutisha
 
Wewe umeona hapo mafinga mkuu ungeenda tunduma nako ukaona uhatari uliopo kwa kifupi Mimi ni dereva wa lory napita shemu nyingi naona mengi Kuna sehemu inaitwa mpika Zambia Napo ni kwio kabisa nashukuru sehemu zote napita siachi alama hilo sio kwa ujanja wangu ila mungu pekee ananipa nguvu ya kuwaepuka hao viumbe

Sent from my CPH1933 using JamiiForums mobile app
 
Sema pisi zao huwezi idhania kama ipo sokoni ukiwa muhoga utaishia kushangaa.

Ukiwa mgeni pale hauwezi lala mwenyewe. Pana baridi haina mfano.
Hapa mkuu ndiyo kwenye mada penyewe!

Toa ufafanuzi kidogo ulivyosema kuna pisi hauwezi idhania!

Kwani zimekaa kaaje, embu fafanua kidogo mkuu ili twende pa1!
 
Hapa mkuu ndiyo kwenye mada penyewe!

Toa ufafanuzi kidogo ulivyosema kuna pisi hauwezi idhania!

Kwani zimekaa kaaje, embu fafanua kidogo mkuu ili twende pa1!
Kuna pisi kali sana za level ya kimataifa, zinaishi maisha ya chini sababu wenye hela za mbao ni walewale ukiwaona kama wauza mikaa!!

Ukitaka kumgundua atakuambia anaishi lodge!! Ukiona pisi inaishi lodge kwa Mafinga kimbia sana!!

Msimu wa mavuno ya misitu ukiwa juu kuna pisi fulani za Kinyarwana na Kisomali zinakujaga pale ni hatari kabisa!!
 
Hapa mkuu ndiyo kwenye mada penyewe!

Toa ufafanuzi kidogo ulivyosema kuna pisi hauwezi idhania!

Kwani zimekaa kaaje, embu fafanua kidogo mkuu ili twende pa1!
Nilivoenda nikamshtua boda moja hivi anitafutie pisi kwasababu ile baridi ata kutoka nje sikuweza.

Nikampa sifa ninazohitaji mtoa huduma awe. Boda akasema usijali. Akaenda alikuja na mtu huyo atakueleza nashindwa. Nikaishia mlipa boda. Akaingia ndani dk 10 akasepa nilizuga nimeumwa ghafla. Ila nikampa hela.

Muhudumu wa lodge ndio akanionea huruma. Atleast yeye.
 
Unazidi tu kuniweka gizani mkuu, alikuwaje sasa kwani, sura mbovu au mchafu chafu?

Ikawaje ukinai na kueegemea kwa mhudumu chap kwa haraka?

Sijawahi kuona mamba mwenye njaa kakamata mhanga wake, tena kazama nae kina kirefu, kisha tuone amemtema!

Lazima tubaki na maswali'ujue!

Weka hata na kapicha ka hisia ka kuchora ili tuunganishe dots!
 
Back
Top Bottom