Mafia mob | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafia mob

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nazjaz, May 23, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  jamani naomba mnijulishe juu ya hili genge la kihuni, je bado lipo au limekufa?
  Mbeya alikuwepo padre Mwalukasa, alikufa kifo cha kutatanisha na inasadikiwa eti alikuwemo kwenye kundi hili.
  Swali la kujiuliza, je Mswahili unawezaje kuingizwa kwenye hili genge.
   
 2. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,688
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  Mafia ni ya waitaly.....sema watu hutumia kama neno linalomaanisha mobs za organized crime,kuna russian mafia,mexican mafia kuna chinese(triadzs),japanese(yakuza) etc...
   
 3. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  kumbe Yakuza ni ya wahiuni!!!!!!!!
  Sikujua, thanks Kobello, thanks JF
   
 4. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 280
  Mbwa mwitu ni mafia mob ya Mbagala
   
 5. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,688
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  MAFIA=Morte A la Francia Italia Anela which means,death to the french is an italian cry!.....kikundi kilichoanzishwa na wa sicily kupambana na ukoloni wa wafaransa,baadae wakaanza kutaka michango kuwalinda wananchi na wafanyabiashara,baadae wengine waka immigrate new york,jersey,chicago etc
   
 6. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Hebu nenda kwenye google utapata historia yao ndefu, mafia bosses, godfathers, omerta, mafia families ...
   
Loading...