Mafao yalipwe mtu akifikia nusu ya muda wa utumishi

kidunula1

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
6,299
6,331
Salamu kwenu ndugu,

Hivi kwa nini watumishi wa uma kile kiinua mgongo chao wanachopewa pindi wanapostaafu wasingewekewa utaratibu wa kukichukua wanapofikisha nusu ya miaka ya utumishi? Mfano labda niseme baada ya miaka15 kazini mtumishi mwenye haja na kapesa kake aruhusiwe kudai hata nusu ya kiasi kilichopo badala ya kusubiri hadi uzeeni.

Na yule asiye na haja nako kwa kipindi hcho akaache kaendelee kujaa jaa had atapokuwa mzee. Au kuna madhara yoyote aidha kwa mifuko husika au kwa serikali endapo itafanyika hivo?

Karibuni kwa mitazamo yenu wadau.
 
Kuna wanaoruhusu kulipwa nusu ukibakisha miaka mitano kabla ya kustaafu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom