Mafans Wa Diamond Na Wema Sepetu Wamtusi Penny Kwa Keki...

Ibrahim300

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
389
225
Kufikia sasa mafans waliotamani Diamond na Wema warudiane wanafuraha ya ajabu baada ya wawili hao kutangaza penzi lao kwa mara nyingine.

Lakini kuna yule aliyefanya wawili hao waachane...Penny.

Penny ndiye alikuwa chanzo cha wawili hao kuachana, jambo ambalo lilichukiza wengi.

Kurudisha machungu yao, mafans waliingia kwa mitandao na kumchana live kupitia michoro ya keki. Waliamua kuachilia picha kwa mtandao wa Instagram huku wakiongeza maneno makali ya kukinaisha.

'bwahahahahaha hahaha Heri ya Mwaka mpyaa jamanii watu wa nguvu #Muibaji Mkubwa nchinii Tanzania na ana phd ya Kuibaa wanaumee za dada zakee sis tunaimuita Mpekecho....'

Hayo ndio baadhi ya maneno yaliyowekwa yakiunganishwa na keki yenye maneno haya:

'Peni ukome kuchukua mabwana wa Rafiki/dada zako'

Chanzo>>>Mafans Wa Diamond Na Wema Wampa Makavu Penny - bkuHABARI
 

Attachments

 • pen.jpg
  File size
  26.1 KB
  Views
  1,724
 • pen2.jpg
  File size
  27.7 KB
  Views
  1,318

sorua

Member
Dec 31, 2013
26
0
Wote wapumbavu hawajijui haooo hawana kazi za kufanyaa sijui wanalishwa na Wemaa
 

Mkuki

JF-Expert Member
Sep 8, 2010
364
195
wote wajinga na tena mwanaume ndio mjinga kama alikuwa anampenda huyo asingeenda kwa pen aliona hamfai ndio akaenda kwa pen leo amerudia matapishi yake anaona pen hafai nyambaf kabisa chovyachovya .unachimba unahama hakuna dhahabu hapo maana ukichimba hapa ukikosa unachimba shimo lingine kujaribu huwezi unashindana na ulipotoka pen atapata aliepangiwa na mungu wake.hicho kilikuwa kivuko tu.
 

jashmoe32

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,078
1,500
Huyu alieleta habari hii ni -------- na mwenye uchovu wa kufikiri mana unaleta habari ambayo haina mantiki yoyote
 

Ibrahim300

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
389
225
Hahah tulizeni jamaa...hii post imekuwa dedicated kwa mashabik wa Wema na Diamond, si lazima mtu akiweka post yamaanisha kuwa yeye anaunga mkono...ni kupasha tu habari.
Halafu jamaa msisahau kuwa hii ni thread ya celebrity kwa hivyo habari zote za wasanii zaekwa hapa, nzuri ama mbaya bora tu ni kuhusu usanii...ama vipi?
 

bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,442
2,000
Hufa hujaumbika lakini pia maisha ni foleni...kama Diamond angekuwa haungi mkono Penny kutukanwa ama kudhalilishwa naamini angetokea kwenye mitandao au media kukemea upumbavu huu unaoendelea,
bila kufanya hivyo inaonesha wazi kawaunga mkono juu ya hilo.
Tukumbuke maisha nimapito
 

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
9,998
2,000
Ujinga mtupu,kweli mtu unakaa kufuatilia news za kipumbavu kama hzi?
 

bob cja

New Member
Jan 2, 2014
2
0
Diamond Malaya na Wema Kahaba kwahiyo watawezana bora wamuache Penny wa watu ila naamini hawato dumu.
 

Swts

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
3,063
2,000
wote matahira...kuanzia mkanda keki hadi walaji..inzi wote!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom