Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

Kichwa cha mada kinasomeka, ''Mambo aliyofanya JK''.

Mimi nilichosema ni matunda na mafanikio ya Ilani ya CCM!

Kwani Ilani ya CCM imekuwa ni pesa?

Hujui kuwa alichofanya JK kama Mwenyekiti wa CCM ni kuisimamia Ilani ya CCM!

Kikubwa zaidi, hoja yako kuhusu kodi ungeielekeza kwa mleta mada!
Soma hivyo vilivyojengwa hafu kaangalie kwenye Ilani ya CCM uone vitu gani viliandikwa na je ambavyo havikuandikwa ila JK akatekeleza ilikuwa ilani za Mabeberu?
 
Tunaangalia na duration , cha msingi hapa Jk aliopt kuacha hela Kwa wananchi , Jiwe yeye ameamua kuipeleka hela kwenye miundo mbinu , na services , huwez kuvifanya hvi vitu vyote Kwa wakat mmoja lazma kimoja kiumie kusubir kingine , mf ujenge vituo 300 vya Afya at the same tyme vifurike wafanya kazi na equipment ,
Hivyo vituo vimegharimu shilingi ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma hivyo vilivyojengwa hafu kaangalie kwenye Ilani ya CCM uone vitu gani viliandikwa na je ambavyo havikuandikwa ila JK akatekeleza ilikuwa ilani za Mabeberu?
Hivyo vyote vilikuwepo kwenye Ilani ya Uchaguzi!

Kama unabisha, naomba unionyeshe ni vipi kati ya hivyo havikuwepo kwenye Ilani ya Uchaguzi!
 
Hivyo vyote vilikuwepo kwenye Ilani ya Uchaguzi!

Kama unabisha, naomba unionyeshe ni vipi kati ya hivyo havikuwepo kwenye Ilani ya Uchaguzi!

We ndo ukasome hizo Ilani hafu uje utueleze, mtaanza kusema hata ujenzi wa daraja la Busisi ipo kwenye Ilani, Mredi wa umeme wa JK nao upo kwenye Ilani nk nk
 
We ndo ukasome hizo Ilani hafu uje utueleze, mtaanza kusema hata ujenzi wa daraja la Busisi ipo kwenye Ilani, Mredi wa umeme wa JK nao upo kwenye Ilani nk nk
Nadhani nikuache kwa sababu hata kuandika kwa ufasaha ni tatizo!

Kama kuandika kwa ufasaha ni janga, unadhani utaweza kujenga hoja zenye nguvu za hoja?

Sio ajabu hujui hata maana ya Ilani ya Uchaguzi!

Kwa akili isiyojaa kisoda unadhani JK alikuwa mgombea binafsi na hayo aliyoyafanya yalikuwa yake binafsi!
 
Tunaangalia na duration , cha msingi hapa Jk aliopt kuacha hela Kwa wananchi , Jiwe yeye ameamua kuipeleka hela kwenye miundo mbinu , na services , huwez kuvifanya hvi vitu vyote Kwa wakat mmoja lazma kimoja kiumie kusubir kingine , mf ujenge vituo 300 vya Afya at the same tyme vifurike wafanya kazi na equipment ,
Kuna watu watakubisha humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani nikuache kwa sababu hata kuandika kwa ufasaha ni tatizo!

Kama kuandika kwa ufasaha ni janga, unadhani utaweza kujenga hoja zenye nguvu za hoja?

Sio ajabu hujui hata maana ya Ilani ya Uchaguzi!

Dogo misumari imekuingia barabara, nakutakia siku njema usijitoea ufahamu we beba Ilani za kuanzia 1995-2015 uzisome ili upate kulelewa nilichoandika,
 
Kumekuwepo na vijembe na lugha za kejeli zinazotolewa na baadhi ya viongozi kutuhumu awamu zilizopita hasa awamu ya tano kana kwamba wao waliiba na hakuna maendeleo waliyoyafanya.

Orodha ni ndefu mimi nayakumbuka haya.

1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Mwamba Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Hawa wanaomtukana na kusema kuwa hakufanya chochote zaidi ya wizi na ufisadi walikuwa wanaishi nchi gani?

Hivi huyo wanaemtukuza amefanya jambo gani kubwa linalofikia hata robo ya mkubwa aliyoyafanya Kikwete?

Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.

Naomba nawe utukumbushe Mambo makubwa yaliyofanywa enzi za Jakaya.

Tiririka .....

Freedom of speech umesahau.
Mikutano ya vyama vyote free
Uhuru wa vyombo vya habari
Upatikanaji wa haki za binadamu
 
Ama hakika amefanya mengi sanaaaaa..

Mungu ampe maisha mrefu Raisi wa mioyo yetu, mtu mkarimu na muungwana JM KIKWETE

Naamini hata Magufuli atafanya mengi pía

Mungu libariki Taifa letu, mbariki Raisi wetu
 
Wale waliotuhakikishia kipindi cha awamu ya nne kuwa Kikwete hajafanya lolote ndio leo wamegeuka na kuanza kuorodhesha yote aliyofanya.
Wale waliosema ccm tangu uhuru haijawahi kufanya chochote leo wamekuwa waimba pambio wa kusifia mambo yaliyofanywa na awamu nne zilizopita.

Kikwete na Mkapa ni viongozi ovyo kuwahi kutokea nchi hii, hata yule baba yenu wa taifa naye ovyo japo yeye alijitahidi compared to those couple above.
Nikiona watu leo wanamsifia Kikwete nachoka kabisa na kujiuliza how stupid these black people are.

Nikisema Waafrika wengi ni viumbe wapumbavu mnaanza kulia mara ooh Sir Khan mbaguzi.
Magufuli wanyooshe hawa watu mpaka akili ziwarudie.
JK aliyoyafanya mengi yana tija kuliko huyu wa sasa anayejisifu kwa kununua Ndege 10 wakati mikataba ya ununuzi wa hizo Ndege wala haijapitia Bungeni na Bunge halijaidhinisha ununuzi wa Ndege hizo.
 
Back
Top Bottom