Bila magufuli hata hizo taa zingeonekana mikoa mingineKuna kitu nakiona tofauti sana Shinyanga.Na hii kama sio hofu ya Mh.Rais na serikali yake,nakiri nisingeona taa za barabarani katika mitaa ya shinyanga.
Shinyanga kwa miaka mingi huko nyuma ilikuwa shamba la bibi.Ijapokuwa hata leo hii bado wananchi wana hamu kumuona Rais au Waziri mkuu akitembelea Shinyanga.
Inasemekana kuna watumishi wazawa ni mafundi kwa ndumba kiasi cha kuzuia ziara za viongozi wakubwa.Hii ni kutokana na hofu ya kushughulikiwa kutokana na wizi mkubwa walioufanya huko nyuma.
Angalia tu stand mpya ilivyojengwa.Ila ukiambiwa gharama zilizotumika unaweza kuzimia.
Ila kweli hatuna budi kumshukuru mh.Rais kuna tofauti tunaiona sasa hivi Shinyanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi wako bila ya picha kwa dunia ya sasa inaonekana kama ni porojo tu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila magufuli hata hizo taa zingeonekana mikoa mingine