Mafanikio ya Stephen Julius Masele, Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
587
1,000
Kuna kitu nakiona tofauti sana Shinyanga.Na hii kama sio hofu ya Mh.Rais na serikali yake,nakiri nisingeona taa za barabarani katika mitaa ya shinyanga.

Shinyanga kwa miaka mingi huko nyuma ilikuwa shamba la bibi.Ijapokuwa hata leo hii bado wananchi wana hamu kumuona Rais au Waziri mkuu akitembelea Shinyanga.
Inasemekana kuna watumishi wazawa ni mafundi kwa ndumba kiasi cha kuzuia ziara za viongozi wakubwa.Hii ni kutokana na hofu ya kushughulikiwa kutokana na wizi mkubwa walioufanya huko nyuma.

Angalia tu stand mpya ilivyojengwa.Ila ukiambiwa gharama zilizotumika unaweza kuzimia.

Ila kweli hatuna budi kumshukuru mh.Rais kuna tofauti tunaiona sasa hivi Shinyanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila magufuli hata hizo taa zingeonekana mikoa mingine
 

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,660
2,000
Uzi wako bila ya picha kwa dunia ya sasa inaonekana kama ni porojo tu....

Sent using Jamii Forums mobile app

Shinyanga bado sana KIUCHUMI....Mkoa uko chini Sana kimaendeleo ukizingatia kwamba WILLIAMSON DIAMOND MINING iko Maganzo some few miles from Shinyanga Town...!!Lakini pia kuna KAHAMA GOLD MINING iko takribani km 70~90 kms from Shy Town.
Inasikitisha kuona mkoa huu ni moja ya mikoa iliyo nyuma kabisa kimaendeleo pamoja na kuzungukwa na Utajiri wa MADINI mbali na PAMBA(White Gold) na Utajiri wa Mifugo( Ng'ombe, Kondoo, Mbuzi,nk). Adui wa maendeleo ya Shinyanga ni Chama Twawala CCM! Ni wakti wa kuwapumzisha Hawa madhalimu wa CCM.....Full stop.
 

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,660
2,000
Bila magufuli hata hizo taa zingeonekana mikoa mingine

What is taa za Barabarani kwa maendeleo ya Wanashinyanga weye?
Nyie ndio wapuuzi mnaodanganywa kwa peremende(kofia,khanga na fulana)ili mchague CCM...!!
UTAJIRI WA MKOA WA SHINYANGA SIYO WA TAA ZA BARABARANI.....Shame on you!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom