mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,666
Nimeipata hii katika moja ya mitandao ya kijamii, ni vyema tuka'share' ili kila mmoja wetu ajitathmini ameguswa kiasi gani katika makundi haya chini, hasa wakati huu wa Pasaka.
Tafadhali usimsemee mtu ya moyo wake na wala huna haja ya kujibu, labda likiwa la ujumla kuboresha, kukanusha au kufafanua.
1. Kuna ongezeko kubwa la waumini makanisani japo sadaka haiongezeki (watu wanatafuta pa kuzugia kusukuma weekend).
2. Ndoa zimeendelea kuimarika na upendo wa familia unarejea kwa kasi (wababa wanarudi nyumbani kwa wakati).
3. Kuna kila dalili ya anguko la viccoba (watu wanakimbia na marejesho).
4. Kuna upungufu mkubwa wa paka maeneo ya bar na restaurants (watu wanalamba mpaka sahani na hakuna mabaki).
5. Kuongezeka kwa vibanda vya utumbo mitaani (nyama, maini na kuku vinaliwa kwa maelekezo ya daktari).
6. Kuongezeka kwa uhasama kati ya binadamu na mbuzi (binadamu kuingilia malisho ya mbuzi kwa kuongeza milo ya mboga za majani).
7. Kumbi za sherehe kugeuka maghala (harusi na sendoff kufanyika majumbani).
8. Kupungua kwa vitambi na nyama uzembe bila mazoezi (maji kwa sana badala ya bia ndo mpango mzima).
KAZI KWELI KWELI KUISOMA NAMBA