The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,394
- 12,978
Sawa Mkuu. Ila point yangu ilikuwa ni kwamba wakati hili jukwaa linaanza uchangiaji wa kisiasa haukuwa wa kishabiki kama sasa. Vilevie wakati wa BCS kabla ya Jambo Forums.Unajuaje Kama sikuwa na id nyingine?
Kwa taarifa yako nina id nyingine ya kuanzia 2011 niliyoacha kuitumia 2015!
Siasa za vyama hapa zilianza around 2010. Kama ulikuwepo, you should know better.