Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,448
Nyumbu kavae barakoa ujilinde na wimbi la tatu!We ni ngedere kabisa huu Uzi unasifu project za kikwete naomba ufahamu hilo pimbi wewe.
Nyumbu kavae barakoa ujilinde na wimbi la tatu!We ni ngedere kabisa huu Uzi unasifu project za kikwete naomba ufahamu hilo pimbi wewe.
aliwabinya kende kina Habitha SinghMleta mada anaonekana hajafika hata kigali.. anyway hizo pesa hakutoa mfukoni kwake
Hupaswi kuishukuru selikali ikitimiza wajibu wake..Crimea wengi wana akili sana wewe sijuhi crimea wa Chatle ama Kolomije??
Shame!
How wakati hizi pesa tulikuwa tunagawana kama escroll 300bmHuo ni mkopo kutoka WORLD BANK.
Hata kama Rais angekuwa Pierre Liquid angeweza kukopa tu akajenga.
Masuala ya kulipa deni mtajijua huko.
Hakuna akili yeyote iliyotumika hapo.
Kama ni haki yako mbona hawakujenga hiyo flyover miaka yote?Haki yako halafu unataka kuwa mtumwa nayo.
Misukule ya mwendakuzimu nyie mna kazi kweli, kwa hiyo unataka kusema miradi yote inayoendelea sasa hivi inafanyika kwa kufuata maelekezo ya mzoga tuliozika chatto? Kuna project ya Dodoma ring maza kaukanseli uambieni huo mzoga uje ujenge si ulianzisha wenyewe bwana.Ona haka kataahira!
Daraja la busisi anaanza kujenga maza?
Na hiyo reli unajua kama ni mwendelezo wa hii ya dar to moro?
Vijana piganeni muondokane na umasikini kwenye koo zenu kwanza haya mambo yapo juu ya uwezo wenu,
Huyu mjinga anatakiwa awashukuru na wakoloni kwa kutuletea reli, shule, makanisa, hosps na lami kwa mara ya kwanza.Yaani wewe ni bonge moja la jinga...
Hustahili kuishukuru serikali kwa kutimiza wajibu wake.
Kama mwananchi mlipa kodi na bosi wa serikali unapaswa kujiuliza je kilichofanyika kimefanyika kwa ufasaha? Na kama kimefanyika Dar je maeneo mengine ya nchi yenye mahitaji kama hayo yatafikiwa lini?
Hao Magu alikuwa anagawana na genge lake.How wakati hizi pesa tulikuwa tunagawana kama escroll 300bm
Kilio cha wanyonge.Ni kweli sio fedha zake ila zilikuwepo lakini badala ya kufanya mambo kama hayo wapo waliozitafuna tu na kutunyonya.
You can imagine mtu analipwa bilioni 400 fedha za wavuja jasho watanzania na kulipwa milioni 400 Kila siku ila ndio hao wanaoachiwa.
Hii nchi Kuna watu wanaifaidi sana, Ila ipo siku Mungu atasikia kilio Cha wanyonge na kuwarejeshea Nchi yao.
Ipo siku na siku hiyo haipo mbali sana.
Alikuwa anapiga 10% za ujenzi wala hakuwa na loloteMwendakuzimu alikuwa mbinafsi sana, alituaminisha hatatokea rais mwngne wa kujenga reli na madaraja, lkn cha ajab hata kabla mzoga wake funza hawajaumaliza, maza Huyo tayari kaanza kujenga daraja kubwa la busisi na reli kutoka isaka to mwanza.
Well saidHao Magu alikuwa anagawana na genge lake.
Hakuna mtu
Mzoga ulisema tz hatuna corona so sivai.Nyumbu kavae barakoa ujilinde na wimbi la tatu!
Mzoga ulisema tz hatuna corona so sivai.Nyumbu kavae barakoa ujilinde na wimbi la tatu!
Misukule ya mwendakuzimu nyie mna kazi kweli, kwa hiyo unataka kusema miradi yote inayoendelea sasa hivi inafanyika kwa kufuata maelekezo ya mzoga tuliozika chatto? Kuna project ya Dodoma ring maza kaukanseli uambieni huo mzoga uje ujenge si ulianzisha wenyewe bwana.
Clip za hao waliotoka lupango duu kauli zao tata kweli sijui hawatazitamka tena!Maza anafungulia jela majizi na magaidi, ngoja aendelee kudemka tu yatamnyoosha.
Ni WIVU TU!!!!!!Huo ni mkopo kutoka WORLD BANK.
Hata kama Rais angekuwa Pierre Liquid angeweza kukopa tu akajenga.
Masuala ya kulipa deni mtajijua huko.
Hakuna akili yeyote iliyotumika hapo.
Hizi hasira zako unamtolea nani sasa hapa? Kwanini usizitumie kutafute hela ili uondoe umasikini kwenye ukoo wako?Misukule ya mwendakuzimu nyie mna kazi kweli, kwa hiyo unataka kusema miradi yote inayoendelea sasa hivi inafanyika kwa kufuata maelekezo ya mzoga tuliozika chatto? Kuna project ya Dodoma ring maza kaukanseli uambieni huo mzoga uje ujenge si ulianzisha wenyewe bwana.
Mimba za kwenye majumba mabovu hizi!Mzoga ulisema tz hatuna corona so sivai.