Daaa...mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.magu has gone to be with the chicks he burnt..vifaranga vita mshangilia
 
Unatukazia wapi,how does it affect us, wewe na nani, what position do you hold ama uko to hapk vijiweni
Achana na majinga hayo ,mama hana moyo wa kikatili na ni mtu wa reasoning ,hao mataga wakizingua atawaweka pembeni

Tumeona Angola,DRC nk hakuna mjinga ataongozwa na wasaka vyeo
 
Mjasiri wa kupinga uwepo wa Corona!🚶🚶🚶Corona ina utaratibu wake wa ajabu sana, ina wivu na inapenda kutawala. Ukikataa kuidhibiti ni lazima ikutawale.It started in Burundi!
 
He is My son's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewah pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Acha woga wewe.
 
Kuwaweka wafanyakazi wa Uma miaka 7 bila nyongeza ya mshahara wala kupanda daraja. Hili haliwezi kusahaulika
Kati ya watu ambao walimlaani huyu mzee, na mimi ni mmoja wao! Maana hakututendea kabisa haki watumishi wa umma katika utawala wake.

Ila sijawahi kumuombea kifo. Katika hili, namtakia pumziko la milele.
Kifo ukisikie tu kwa jirani. Ila huleta maumivu makali sana unapo ondokewa na mpendwa wako.
 
Back
Top Bottom