mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Wangapi wamepita mpaka asifiwe yeye tuuuRais kufanya hayo sio sifa mkuu ndio kazi yake kama Rais na wametumia pesa zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app

Vipi million 50 kila kijiji kusaidia vikundi vidogo vidogo Alisha tekeleza?Kama uko makini kuangalia anayo yafanya Rais Magufuli utagundua kuwa ni Yale aliyo yasema kwenye ahadi zake wakati wa kampeni.
Mfano:
1. Aliahidi kufufua shirika la ndege (watu walishangilia nadhani hawakujua madhara yake na labda hawakujua ni kwa namna gani atafufua hilo shirika), ahadi hii hadi sasa imetimia kwa asilimia nyingi.
2. Kutoa Elimu bure, hili pia kalitimiza kwa ufanisi mkubwa (cha muhimu sasa aangalie jinsi gani ya kutatua changamoto za Elimu bure mana linaweza kuwa janga lataifa hapo baadae)
3. Viwanda, hapa amejitahidi kuhimiza sera ya Viwanda kufanikiwa kwa uchache kidogo mkoa wa pwani unaweza kuwa mfano wa kufanikiwa kwa sera hii.
Lakini sasa kuongezeka kwa Kodi kumepelekea uchumi kudorora na uwekezaji kupungua, biashara kufa n.k, lakini amejitahidi kuonyesha kuwa na nia ya kutumiza ahadi hii.
4. Maji na umeme wa uhakika. Mifano mizuri hapa, ujenzi Bwawa la Nyerere na mradi wa maji Ziwa Victoria kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora, Singida hadi Dodoma.
5. Miundombinu, hili pia ametimiza kwa kiasi kikubwa. Mifano michache ni SGR, ujenzi wa barabara mbalimbali kama Nyakanazi-Kigoma, ujenzi wa madaraja mbalimbali Kama Busisi-Kigongo n.k.
6. Huduma za afya,hili pia amefanya kwa kiwango kikubwa vituo vya afya zaidi ya 367 vimejengwa nchi nzima hadi sasa.
Hiyo ni mifano michache tu kuonyesha kuwa anayo yafanya ni yale aliyo ahidi. Lakini swali je haya anayoyafanya yanawagusa Watanzania na ndio vipaumbele vyao?
Na kama sio kwanini tulimchagua wakati ahadi zake tuliziona tangu kweye kampeni au hatukuchuja kujua kama zina faida kwetu?
Kama ni hivo Rais Magufuli ana la kuwajibu Watanzania kuhusu ahadi zake?
Ninachokiona mimi Rais Magufuli ametimiza alicho waahidi Watanzania.
Hiyo ahadi aliahidi kwenye jimbo gani mkuu wakati wa kampeni??Ahadi nyingine aliyotimiza ni matajiri kuishi kama mashetan
Hii kaitimiza kwa kiasi kikubwa sana
Cc manji, seth rugemalila na mo kuonja joto la jiwe kwa siku tisa nk
Watanzania kukimia meno
Hakika tunalimia meno
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ahadi aliahidi kwenye jimbo gani mkuu wakati wa kampeni??
Ile milioni hamsini kila mtaa ameshatimiza?Kama uko makini kuangalia anayo yafanya Rais Magufuli utagundua kuwa ni Yale aliyo yasema kwenye ahadi zake wakati wa kampeni.
Mfano:
1. Aliahidi kufufua shirika la ndege (watu walishangilia nadhani hawakujua madhara yake na labda hawakujua ni kwa namna gani atafufua hilo shirika), ahadi hii hadi sasa imetimia kwa asilimia nyingi.
2. Kutoa Elimu bure, hili pia kalitimiza kwa ufanisi mkubwa (cha muhimu sasa aangalie jinsi gani ya kutatua changamoto za Elimu bure mana linaweza kuwa janga lataifa hapo baadae)
3. Viwanda, hapa amejitahidi kuhimiza sera ya Viwanda kufanikiwa kwa uchache kidogo mkoa wa pwani unaweza kuwa mfano wa kufanikiwa kwa sera hii.
Lakini sasa kuongezeka kwa Kodi kumepelekea uchumi kudorora na uwekezaji kupungua, biashara kufa n.k, lakini amejitahidi kuonyesha kuwa na nia ya kutumiza ahadi hii.
4. Maji na umeme wa uhakika. Mifano mizuri hapa, ujenzi Bwawa la Nyerere na mradi wa maji Ziwa Victoria kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora, Singida hadi Dodoma.
5. Miundombinu, hili pia ametimiza kwa kiasi kikubwa. Mifano michache ni SGR, ujenzi wa barabara mbalimbali kama Nyakanazi-Kigoma, ujenzi wa madaraja mbalimbali Kama Busisi-Kigongo n.k.
6. Huduma za afya,hili pia amefanya kwa kiwango kikubwa vituo vya afya zaidi ya 367 vimejengwa nchi nzima hadi sasa.
Hiyo ni mifano michache tu kuonyesha kuwa anayo yafanya ni yale aliyo ahidi. Lakini swali je haya anayoyafanya yanawagusa Watanzania na ndio vipaumbele vyao?
Na kama sio kwanini tulimchagua wakati ahadi zake tuliziona tangu kweye kampeni au hatukuchuja kujua kama zina faida kwetu?
Kama ni hivyo Rais Magufuli ana la kuwajibu Watanzania kuhusu ahadi zake?