Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mtuhurumie sisi kwa sisi kwani hata hukuupinzi usione tunaisema vibaya CCM lakini wakati mwingi tunawahadaa watanzania ili tuonekane tunahoja kinzani.

Ndo maana ACT Wazalendo huenda miaka ijayo kikiwa chama kitatusumbua sana sisi chadema kama hatutabadilika.

Kwenye kamati kuu nilishauri juu ya kuwashauri wnanachama wetu kuwas wasitaarabu na hata wapongeze serikali inapofanya vizuri, lakini niishiwa kudhalilishwa.

Usione Mnyika amekuwa kimya ukadhani ni kupenda.
 
Mtuhurumie sisi kwa sisi kwani hata hukuupinzi usione tunaisema vibaya CCM lakini wakati mwingi tunawahadaa watanzania ili tuonekane tunahoja kinzani. Ndo maana ACT Wazalendo huenda miaka ijayo kikiwa chama kitatusumbua sana sisi chadema kama hatutabadilika. Kwenye kamati kuu nilishauri juu ya kuwashauri wnanachama wetu kuwas wasitaarabu na hata wapongeze serikali inapofanya vizuri, lakini niishiwa kudhalilishwa. Usione Mnyika amekuwa kimya ukadhani ni kupenda.


Zungumzia nafsi yako mwenye kutoka moyoni.
Usiwachanye na wengine ambao hawahusiki kwenye nafsi yako.
 
Mtuhurumie sisi kwa sisi kwani hata hukuupinzi usione tunaisema vibaya CCM lakini wakati mwingi tunawahadaa watanzania ili tuonekane tunahoja kinzani. Ndo maana ACT Wazalendo huenda miaka ijayo kikiwa chama kitatusumbua sana sisi chadema kama hatutabadilika. Kwenye kamati kuu nilishauri juu ya kuwashauri wnanachama wetu kuwas wasitaarabu na hata wapongeze serikali inapofanya vizuri, lakini niishiwa kudhalilishwa. Usione Mnyika amekuwa kimya ukadhani ni kupenda.

Ndio maana tunapinga kila kitu....
 
Ndio umeanza harakati za kutafuta kuteuliwa nafasi zilizoachwa wazi bukoba......Endelea huenda ukabahatika uDed au uRas
 
Ndio umeanza harakati za kutafuta kuteuliwa nafasi zilizoachwa wazi bukoba......Endelea huenda ukabahatika uDed au uRas

Wakati mwingine ni vizuri ukashirisha japo kidogo akili yako kati yaliyoandikwa hapo juu kuna lipi linalokufanya uamini kuwa mtu anatafuta nafasi??

[HASHTAG]#InahitajiMoyoSanaKuwaNyumbu[/HASHTAG]
 
Unaweza kujiuliza kwanini nimepongeza ila wengi mnaona utendaji wa kazi yake katika TAIFA hili kikubwa ni kumpatia ushirikiano kwa lengo lakupeleka TAIFA letu kwenye maziwa na hasari kauli mbiu ni hapa kazi tu ila tambua kwenye maisha ukifurahi kupongezwa pia kubali kukosolewa ili kujua wapi umekosea na nini kifanyike na andika haya sipo mwimili wowote ila na sifu na kupogeza mazuri yaliofanywa.

Pongezi kwa Mh. rais kwa kufufua shirika la ndege lililokufa kwa malengo ya watu wa chache ambao wanajinufaisha wenyewe kwa njama mbalimbali za kibiashara na zakisiasa kuna wengi wamezungumzia ndege hzi kwa kuziongerea vibaya Ila mkubwa walizoea kutuona tukikopa kwan wanafananisha na ndege za nchi nyingine na kuzungumzia mengne hapo mwanzo ilikuwa ngumu kukuelewa.

Ila now nimekuelewa watanzania wengi wanapenda makubwa kuliko uwezo wao Ila wanabidi watambue kuna mengi yakufanyika atuwezi kununua ndege za gharama kubwa na uendeshaji kwa gharama za juu wakati tuna mengi yakufanya swala zima la elimu bure madawati na uduma za afya nimefurahi kusikia tumenunua ndege hatujakopa na tutanunua zingne kwani ni pesa za watanzania, wengi wanapitisha chuki kwa wenye uelewa mdogo kwa sababu ya kukosa UDALALI, tumezoe kuona kila kitu kinachafaya na serikali kuna dalali ndani yake mpaka TCU pia kwenye maswala ya elimu kudaili wanafunzi kuna madalali dah Tazama hili mweshimiwa upigaji uwe mwisho mwaka huu.

KITU KINGINE KIKUBWA kwanini ukitaka kupata huduma mbovu tu nenda katika ofisi za serikali, nakumbuka kuna mbunge moja alizungumza hili msimu wa mwaka jana kama sijakosea, Tanzania kila kitu kinachofanyika unatengenezewa mazingira ya kutoa rushwa tu, mfano TRA kuchukua TIN namba tu unaweza chukua siku nzima, wakati ukimpa kishoka ni nusu saa tu au lisa, mtu anamua kutoa pesa yake ili kuokoa muda wake.

Tuboreshe huduma, huduma za serikali huko hospitali ndo hakuelezeki swala la dawa na madaktari ni tete, ila za binafsi huduma ziko vizuri pale ndo unapoona kila kitu serikali inahitajika kutoa tenda kwa watu wafanye kazi ambayo wao wameishindwa, mambo haya ndo yameleta madhara ya ESCROW kulipishwa shirika la umeme, kushindwa ubunifu kabisa kwani wasomi wa taifa hili wako wapi serikali kuwatumia hamuwezi au makampuni au mashirika binafsi tu ndio wanawatumia kwani yao yanapiga hatua kwani wafanyakazi wapi wanaonekana wabunifu na wako katika usimamizi mzuri kwanini, ila mifano tu kwani vitu vingi vinatokea ukiangalia katikati kuna udalali au mtu kapewa tenda.

Lengo ni kwamba tumefufua shirika la ndege na mmeamua kutoa mafunzo ya urubani Tanzania chini ya chuo cha usarifishaji, angalia shirika lisifirisike ataye firisi achukuliwa hatua kali,, wala sitemegemei kusikia kubinafishwa kwa kushindwa kwa serikali kuliendesha ni hatua kubwa sana tumeipiga ila tambua kuna mengi umetuhaidi na tunasubiri utekelezaji wako kasi yako ni nzuri nakupongeza kwa hilo.

Mh. hivi kwanini tukija kwenye swala la kimahakama sasa kwanini serikali yako hupoteza kesi za msingi hupelekea mpaka serikali kushindwa kesi na kupatia pesa za walipa kodi kutumika tu kiholela nina mashaka na hili hapo narudi tena kule juu sijui nini kifanyike hofu za watu zimerudi kimazoea.

Nakupongeza mh. rais kwa hatua kubwa ulifikia na ufanisi mzuri ulionao pia hongera kwa umoja na ushirikiano wako na pongezi zangu za dhati kabisa kwa uteuzi wako mzuri kwa vijana katika serikali yako kwani ni wabunifu na wachapaka kazi, mwisho niwape pole ndugu zetu wa Kagera kwa maafa walioyapata Mungu yu pamoja nao.

Mungu bariki Tanzania Mungu bariki Afrika
 
Wakati mwingine ni vizuri ukashirisha japo kidogo akili yako kati yaliyoandikwa hapo juu kuna lipi linalokufanya uamini kuwa mtu anatafuta nafasi??

[HASHTAG]#InahitajiMoyoSanaKuwaNyumbu[/HASHTAG]
unashindwa kutoa hoja yako bila kuita watu nyumbu.......mangapi yalipingwa watu wakaitwa tumbili mwisho tumbili akageuka shujaa?
Jifunze kutafakari mambo kwa upana kabla ya kutoa hoja yako
 
Hivi wewe ni kati ya wale waliotimuliwa udom? Nauliza tu, kwani uandishi wako. A hata maneno mengi ya kiswahili umeyakosea mno. Au wewe siyo raia? Huenda kwani kwa jinsi ulivyonitahidi kumpamba ni dhahiri unajificha. Hariri kazi yako na acha kujipendekeza.
 
Nimemsikiliza Rais wangu kwenye hotuba za uzinduzi wa Ndege kwa kweli ninafarijika sana na hatua tunazoongozwa na mheshimiwa Rais, lakini pia mipango ya mbeleni ambayo inafanyika SASA au HARAKA HARAKA, hili kwa kweli binafsi linanikosha sana.
Napenda sana kuona utekelezaji wa HARAKA kama huu wa mheshimiwa Rais wangu mpendwa.
Tufanyeni kazi kwa bidii ndani ya muda mfupi(HARAKA) ili kumuunga mkono mheshimiwa Rais.
Ndege nyingine mbili mpya zije kwa HARAKA, reli ya Kati standard gauge, fly overs ubungo na TAZARA, treni za umeme, bomba la mafuta Tanga, utendaji bandarini, vyeti fake serikalini, yaani vyote kwa HARAKA. Hakuna longolongo wala siasa.

Ahsante sana Mungu Baba kwa Rais na watendaji hawa wenye nia ya dhati kutututumikia sisi wananchi wa Tanzania.

Nakuombea afya njema, nguvu, busara huku nikiomba pia afya njema na kushuhudia utendaji huu wa Rais wangu mtukufu.

Kila la Heri, mheshimiwa RAIS JOHN POMBE MAGUFULI, Mungu akulinde sana, Amen.
 
Hivi wewe ni kati ya wale waliotimuliwa udom? Nauliza tu, kwani uandishi wako. A hata maneno mengi ya kiswahili umeyakosea mno. Au wewe siyo raia? Huenda kwani kwa jinsi ulivyonitahidi kumpamba ni dhahiri unajificha. Hariri kazi yako na acha kujipendekeza.
Yote majibu Ila nimezungumzia kitu ambacho kipo na kina onekana Ila kama we unaona no ujinga soma alafu pita hisia za MTU aziwezi chaguliwa na mwingne kwanza me sipo kisiasa alafu pia siwezi bishana na kilaza kama wewe...
 
Huu uzi ungeandika mchana labda ungeeleweka coz inaonyesha ubongo wako unahitaji jua ili uchaji sijui ni jamii ya reptilian

Ukifika saa saba ukiwa umeshiba rudia kupost huu uzi
 
vita ya panzi furaha kwa kunguru wakati nyie mkipigana na kugombana wenzenu wanazidi kujijenga zaidi ntasifu panapostahili na ntakosoa panapoitajika kukosolewa uwezi mfanya MTU amini unachoamini wewe Mnasihi uchama na usiasa usilete katika swala LA maendeleo polen sana mtakao kwazika ni ayo tu.
 
Hongera kwa kufufa shirika la ndege lenye madeni mpaka wameshindwa kulikabidhi ndege, alipe madeni ya watu shirika liwe huru

Pia nampa hongera kwa kukosa chanjo , hii ni tanzania pekee

Nampa hongera kwa kuongeza mapata via utalii na bandari

nampa hongera kwa kuongeza deni la taifa maradufu

Nampa hongera kwa kufungua mahakama ya mafisadi kama alivyoahidi

Nampa hongera kwa kutoa ajira kama alivyoahid

Nampa hongera kwa kulishughulikia suala la lugumi na escrow kwa ufasaha, zaidi

Nampa hongera kwa kuwa huku mtaan kwangu sukari imeshuka mpaka 2400 japo aliahid 1800



Huyu ni mtukufu, mtetezi wa wanyonge
mpeni hongera zake bhana. Udumu milele ewe nisiestahili hata kusogelea kivuli chako.
 
Yote majibu Ila nimezungumzia kitu ambacho kipo na kina onekana Ila kama we unaona no ujinga soma alafu pita hisia za MTU aziwezi chaguliwa na mwingne kwanza me sipo kisiasa alafu pia siwezi bishana na ****** kama wewe...
hivi unaandikia kutoka wapi? Nakusahihisha kila wakati lakini hubadiliki. Hebu usome ujinga ulioupost. Edit kazi yako na kama lugha hii inakushinda, potea jukwaani. Ebo!
 
Miezi kumi akiwa madarakani na vitu kumi ambavyo Rais Magufuli amevifanya;

1.Kanunua ndege 2 mpya za Air Tanzania (nyingine 2 boeing zinakuja)

2. Katoa elimu bure

3.Kakusanya kodi kwa kiwango kikubwa.

4.Kaanzisha mahakama maalumu ya kushugulikia mafisadi.

5.Kaboresha huduma za afya (CT-SCAN &MRI, vitanda Muhimbili.

6.Kahakikisha madawati kwa kila mwanafunzi (sasa hamna mtoto anayekalia tofali tena).

7.Kupungua kwa huduma za umeme na bima ya afya NHIF

8.Kurudisha nidhamu na maadili kwa watumishi wa umma.

9.Upanuzi wa barabara ya Mwenge Morroco.

10.Kuanza kwa mabasi ya mwendokasi jijini Dar es Salaam.


Miezi kumi bungeni na vituko kumi walivyofanya UKAWA;

1.Kujiziba midomo na plasta.

2.Kutukana matusi.

3.Kutetea mafisadi.

4.Kususa bunge.

5.Kuandaa maandamo hewa ya UKUTA.

6.Kukamatwa na polisi.

7.Kushabikia mauaji ya polisi.

8.Kwenda kwenye mahakama hewa ya ICC.

9.Kususia madawati.

10.Kutafuta kiki kwenye maafa ya Bukoba.
 
MIEZI KUMI AKIWA MADARAKANI NA VITU KUMI AMBAVYO MAGUFULI AMEVIFANYA

1.KANUNUA NDEGE 2 MPYA ZA AIR TANZANIA (NYINGINE 2 BOEING ZINAKUJA)

2. KATOA ELIMU BURE

3.KAKUSANYA KODI KWA KIWANGO KIKUBWA

4.KAANZISHA MAHAKAMA MAALUMU YA KUSHUGULIKIA MAFISADI

5.KABORESHA HUDUMA ZA AFYA (CT-SCAN &MRI , VITANDA MUHIMBILI

6.KAHAKIKISHA MADAWATI KWA KILA MWANAFUNZI( SASA HAMNA MTOTO ANAYEKALIA TOFALI TENA)

7.KUPUNGUA KWA HUDUMA ZA UMEME NA BIMA YA AFYA NHIF

8.KURUDISHA NIDHAMU NA MAADILI KWA WATUMISHI WA UMMA

9.UPANUZI WA BARABARA YA MWENGE MORROCO

10.KUANZA KWA MABASI YA MWENDOKASI JIJINI DAR ES SALAAM


MIEZI KUMI BUNGENI NA VITUKO KUMI WALIVYOFANYA UKAWA.
1.KUJIZIBA MIDOMO NA PLASTA
2.KUTUKANA MATUSI
3.KUTETEA MAFISADI
4.KUSUSA BUNGE
5KUANDAA MAANDAMO HEWA YA UKUTA
6.KUKAMATWA NA POLISI
7.KUSHABIKIA MAUAJI YA POLISI
8.KWENDA KWENYE MAHAKAMA HEWA YA ICC
9.KUSUSIA MADAWATI
10.KUTAFUTA KIKI KWENYE MAAFA YA BUKOBA.
ha ha ha ha ha ha sina mbavu, ayo kumi ya ukawa nmecheka sana. ila ukawa imeshaisha uyu magufuli kiboko yao sio kikwete mpole
 
Back
Top Bottom