Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Utapanic sana dogo namna hii maisha yako yatakuwa magumu sana!

Acha kutumika kuwa na akili ya kujitegemea
Nenda chato pale kaburini uombe ule mzoga ukurudishie akili zako, make mwendakuzimu alikufa na akili zako.
 
Misukule ya mwendakuzimu nyie mna kazi kweli, kwa hiyo unataka kusema miradi yote inayoendelea sasa hivi inafanyika kwa kufuata maelekezo ya mzoga tuliozika chatto? Kuna project ya Dodoma ring maza kaukanseli uambieni huo mzoga uje ujenge si ulianzisha wenyewe bwana.
Tukana watu unadhani wote wana akili kama zako, unajiona wewe haufi sio?
 
JamiiForums1721690535.jpeg
 
Binafsi nilikuwa mmoja wa waliokuwa wanaipinga sana awamu ya tano na Rais wake Magufuli ila baada ya kutafakari na kujionea hali halisi ilivyo sasa Ninakiri kwamba nilifanya makosa makubwa sana, Ninaomba nisamehewe.Magufuli alikuwa ni nabii aliyepata kuishi ili kuonyesha njia sahihi na miongozo tunayopaswa kuiishi.

Leo utumbuaji umekuwa kawaida pale uzembe unapodhihirika zamani haya hayakuwezekana.Kazi alizofanyia Tanzania ni kubwa sana tangu akiwa waziri.Ni kweli alivyosema kuwa amejitolea uhai wake kwa ajili ya Tanzania na sote tumeshuhudia lawama nyingi alizobebeshwa yote hayo yalikuwa ni kwa mapenzi makubwa aliyonayo kwa Tanzania.

Magufuli ameitendea haki Tanzania katika nyanja zote, Uchumi,Elimu,Afya,Miundombinu muhimu amani na usalama wa taifa.Kwakweli ni mengi sana aliyoyafanya hayatoshi kuelezea hapa.Ila itoshe tu kusema tumeona ukuu wa Mungu kupitia mtu huyu aliyetumwa kuonyesha njia.Bwana ametoa,Bwana ametwaa.Jina lake lihimidiwe! Amen
 
Uzuri ni idadi ya wanaomkumbuka mtukufu Hamnazo inazidi kupungua kila sekunde!
mnaipima na kusoma tweet za kina kigogo and the likes :cool:

kwa taarifa yako Magufuli anaishi hata mamaenu mwenyewe kuna vitu anamuiga japo anachanganya na UNAFIKI
 
mnaipima na kusoma tweet za kina kigogo and the likes :cool:

kwa taarifa yako Magufuli anaishi hata mamaenu mwenyewe kuna vitu anamuiga japo anachanganya na UNAFIKI
Yes ni kweli anaiga iga... Mfano kuzungukwa na walinzi wenye mitutu mikubwa, ziara zisizo na tija
 
Yafuatayo yamenifanya nimkumbuke hayati

Uhalifu umeongezeka sana mtaani kwetu , kijijini na taifa kwa ujumla

Viongozi waliopo wameanza kuringa katika kutekeleza majukumu yao

Rushwa imerudi kwa kasi sana, nina uhakika juzi tu nililithibitisha hili.

Kasi ya ujenzi wa miundombinu imepungua.

Rais Samia plz play your role as the president.
 
Kazi gani ya ujenzi wa miundombinu imepungua??

Pale Dodoma Mtumba tu Barabara zimejengwa kwa kasi sana baada ya Samia kuingia madarakani
 
Rate(compare cases za uhalifu zinazoripotiwa saizi hata magari yanatekwa sana usiku kuliko zamani na watu hawakamatwi) pia unyanyasaji umeongezeka hasa vijijini.
Tofauti ya siku zile ni kwamba watoa taarifa za ujambazi wenyewe walikua wanashughulikiwa kuliko majambazi ndio maana mkatiwa upofu kama hakuna ujambazi,sasa hivi watoa taarifa wanapewa hadi milioni mbili ndio maana unaskia taarifa za ujambazi kila kona kwa uwezo wako mdogo ndo unahisi kama uhalifu umeongezeka...tumieni akili kidogo katika kujaji mambo.
 
Gogo kavu liko hai na lina akili kuliko wewe mbutuchuti
 
Back
Top Bottom